Cancer ya utumbo mkubwa.(Colon Cancer)

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,778
Habari za leo wapendwa

Cancer ya utumbo mkubwa (Colon Cancer) ni ya tatu duniani kwa kusababisha vifo ukitoa breast na lung cancer. Dalili za cancer hii ni pamoja na kupungua damu, kutoa damu katika njia ya haja kubwa, maumivu yanayodumu kwa sekunde mbili na kuondoka, kubadilika kwa ratiba yakupata haja kubwa, kupungua kwa uzito wa mwili.

Vitu vinavyosababisha cancer hii kwa wengine na kurithi kutoka kwenye genes, lakini kwa wengine wengi ni ugonjwa wa diabetes type 2 usiodhibitiwa, ulaji wa vyakula vya wanga na mafuta, kuto kufanya mazoezi, kutokula vyakula vya fiber kama (ugali wa dona, maharage, makande nk), unywaji wa pombe uliopitiliza, nk.

Ugonjwa huu hasa hutokea kwa watu wa miaka 60 na kuendelea lakini kwa siku za karibuni umri wa wagonjwa unazidi kushuka, inawezekana (life style) kuwa sababu kubwa. Mara nyingi mgonjwa wa colon cancer anapogundulika 25% inakuwa imeshafikia kwenye secondary stage.

Colonoscopy ni moja ya vipimo vya kutambua colon cancer.
Hii ni picha inayopatikana baada ya kipimo hicho na inamsaidia daktari kutamua tatizo lilipo.

Procedure ya colonoscopy inavyofanyika.

Nature ya ugonjwa huu hasa unapowapata watu wazima wanashindwa kuelezea hasa linapokuja swala la polyps na kufanya iwe ni jambo la siri. Kwa wanaofanikiwa matibu haraka, inapelekiea kwa utumbo kutolewa nje na haja kubwa kupitia kwenye mfuko maalum (colostomy). Hili ni swala lingine tena linalohitaji maandalizi ya kisaikolojia.
 
Unatofautiana vipi na vidonda vya tumbo.....nipe mwanga kidogo
peptic ulcers or gastric ulcers zinatokea katika sehemu ya kwanza ya utumbo inayojulikana kama duodenum, colon cancer inatokea kwenye colon ambayo ni utumbo mkubwa, Peptic ulcers zinakua diagnosed kwa kifaa kinachoitwa endoscopy.
 
Hebu ukipata muda mzuri elezea kwa kina umenibeba juu juu mkuu
 
Nyambulisha hizo lugha za kibaiolojia mkuu.... Asante
ok, mwili wa binadamu una gastric ambayo ni acid inakaa tumboni, acid hii imewekwa kama sehemu ya kinga ya mwili, kila chakula unachokula kinapofika tumboni kinazungukwa na acid hii kabla ya kusagwa na kugawanywa. Hii acid inaua vidudu vyote ambavyo vingekuletea madhara kwenye mwili. Mara unapoanza kusikia harufu ya chakula na kuanza kutafuna hii acid inaanza kuntengenezwa kusubiri chakula utakachomeza. Kwa watu wengine (wachache) acidi hii husababisha vidonda viitwavyo peptic ulcers or gastrict ulcers.
 
Habari za leo wapendwa

Cancer ya utumbo mkubwa (Colon Cancer) ni ya tatu duniani kwa kusababisha vifo ukitoa breast na lung cancer. Dalili za cancer hii ni pamoja na kupungua damu, kutoa damu katika njia ya haja kubwa, maumivu yanayodumu kwa sekunde mbili na kuondoka, kubadilika kwa ratiba yakupata haja kubwa, kupungua kwa uzito wa mwili.

Vitu vinavyosababisha cancer hii kwa wengine na kurithi kutoka kwenye genes, lakini kwa wengine wengi ni ugonjwa wa diabetes type 2 usiodhibitiwa, ulaji wa vyakula vya wanga na mafuta, kuto kufanya mazoezi, kutokula vyakula vya fiber kama (ugali wa dona, maharage, makande nk), unywaji wa pombe uliopitiliza, nk.

Ugonjwa huu hasa hutokea kwa watu wa miaka 60 na kuendelea lakini kwa siku za karibuni umri wa wagonjwa unazidi kushuka, inawezekana (life style) kuwa sababu kubwa. Mara nyingi mgonjwa wa colon cancer anapogundulika 25% inakuwa imeshafikia kwenye secondary stage.

Colonoscopy ni moja ya vipimo vya kutambua colon cancer.
Hii ni picha inayopatikana baada ya kipimo hicho na inamsaidia daktari kutamua tatizo lilipo.

Procedure ya colonoscopy inavyofanyika.

Nature ya ugonjwa huu hasa unapowapata watu wazima wanashindwa kuelezea hasa linapokuja swala la polyps na kufanya iwe ni jambo la siri. Kwa wanaofanikiwa matibu haraka, inapelekiea kwa utumbo kutolewa nje na haja kubwa kupitia kwenye mfuko maalum (colostomy). Hili ni swala lingine tena linalohitaji maandalizi ya kisaikolojia.
Asante sana mkuu kwa hii elimu.
 
Nimekupata sasa kwahiyo vidonda vya tumbo vinaweza kupeleka pia kansa ya utumbo kwa baadae kama mgonjwa hatapata matibabu?
 
Habari za leo wapendwa

Cancer ya utumbo mkubwa (Colon Cancer) ni ya tatu duniani kwa kusababisha vifo ukitoa breast na lung cancer. Dalili za cancer hii ni pamoja na kupungua damu, kutoa damu katika njia ya haja kubwa, maumivu yanayodumu kwa sekunde mbili na kuondoka, kubadilika kwa ratiba yakupata haja kubwa, kupungua kwa uzito wa mwili.

Vitu vinavyosababisha cancer hii kwa wengine na kurithi kutoka kwenye genes, lakini kwa wengine wengi ni ugonjwa wa diabetes type 2 usiodhibitiwa, ulaji wa vyakula vya wanga na mafuta, kuto kufanya mazoezi, kutokula vyakula vya fiber kama (ugali wa dona, maharage, makande nk), unywaji wa pombe uliopitiliza, nk.

Ugonjwa huu hasa hutokea kwa watu wa miaka 60 na kuendelea lakini kwa siku za karibuni umri wa wagonjwa unazidi kushuka, inawezekana (life style) kuwa sababu kubwa. Mara nyingi mgonjwa wa colon cancer anapogundulika 25% inakuwa imeshafikia kwenye secondary stage.

Colonoscopy ni moja ya vipimo vya kutambua colon cancer.
Hii ni picha inayopatikana baada ya kipimo hicho na inamsaidia daktari kutamua tatizo lilipo.

Procedure ya colonoscopy inavyofanyika.

Nature ya ugonjwa huu hasa unapowapata watu wazima wanashindwa kuelezea hasa linapokuja swala la polyps na kufanya iwe ni jambo la siri. Kwa wanaofanikiwa matibu haraka, inapelekiea kwa utumbo kutolewa nje na haja kubwa kupitia kwenye mfuko maalum (colostomy). Hili ni swala lingine tena linalohitaji maandalizi ya kisaikolojia.
Mimi ninayo dawa ya kutibu huu ugonjwa wa Saratani ya Matumbo makubwa aka (Colon Cancer) ninakupa unatumia kwa muda wa miezi 4 na unapona kabisa haya Maradhi ya Saratani ya Matumbo makubwa aka (Colon Cancer). Kwa Mtu mwenye huu Ugonjwa wa Saratani ya Matumbo makubwa aka (Colon Cancer) anatafuta dawa ili aweze kupona Nitafute kwa wakati wako. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Kama mgonjwa hapati matibabu au hafuati miiko, fikiria kidonda kibichi kiwe kinakamuliwa limao kila mara hapo ninadhani umepata jibu.
Hapana chief,nadhani sio sahihi kumueleza mteja kua kila vidonda vya Tumbo husababisha Cancer.
Endapo Vidonda hivi vinasababishwa na H-pylori ndio kuna risk kubwa ya Kupata Gastric ca (Kansa ya Tumbo) na sio Utumbo mkubwa wala mdogo na wala si vinginevyo.
 
Mimi ninayo dawa ya kutibu huu ugonjwa wa Saratani ya Matumbo makubwa aka (Colon Cancer) ninakupa unatumia kwa muda wa miezi 4 na unapona kabisa haya Maradhi ya Saratani ya Matumbo makubwa aka (Colon Cancer). Kwa Mtu mwenye huu Ugonjwa wa Saratani ya Matumbo makubwa aka (Colon Cancer) anatafuta dawa ili aweze kupona Nitafute kwa wakati wako. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Nyie watu wa Tiba mbadala,hua mna utaratibu gani wa kwenda kuthibitisha kweli mtu kapona?
 
Mimi ninapo mtibia mtu huwa ninamwambia aende kupima Hospitali na vipimo vya kizungu ili athibitishe kuwa amepona kwa dawa zangu sibahatishi katika utibabu wangu.Ninatibu maradhi mengi mpaka maradhi ya ukimiwi ninatibu pia.
 
Back
Top Bottom