Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
kabudi and so on,kipilimba and the likes mnajiona wababe na mnamshauri vibaya jiwe:nchi haiwezi kutoboa sijui nchi ya viwanda hata mandege yenu mtaambulia hasara tu.jiwe kashindwa kuuza korosho alizodhulumu wakulima kusini kwa wivu kwamba wafanyabiashara wanapata sana kiko wapi leo?tumekosa forex tumeumiza wakulima tumeumiza wafanya biashara mabenki nk, mpo kwa ajili ya wananchi kweli?acheni kubinya uhuru wa kujieleza kama katiba mliyoapa inavyosema 'Angalizo watu wataendelea kusema na kukosoa kadri mnavyotenda vibaya mkitenda vizuri hwatu watasifu bila kulazimishwa wala hatutakiwi kulazimishwa na mtu yoyote hadi wengine wanataka watuchome sindano za vichaaUbalozi wa Canada umesema unaungana na ubalozi wa Marekani na Uingereza katika kutilia wasiwasi wa uzorotaji wa utoaji haki nchini Tanzania.
Watoto wa 2000 watajulia wapi hayo, wao waulize historia ya Diamond Platinumz watakwambia hadi babu yake na babu wa Diamond alikuwa na wake wangapi na vimada wangapi.Wazungu wakati mwingine huingilia kati kutusaidia, Hata serikali ya mwalimu Nyerere kama siyo Muingereza kuingilia kati kuinusuru mwaka 1964 kwa kuleta makomandoo kuzima jaribio lile la mapinduzi la akina Kamanda Ilogi sasa hivi huenda CCM insingelikuwa madarakani!.
Maana kama Muingereza aliinusuru serikali ya TANU ising'olewe, hawa vijana wa CCM ya leo wanaowatukana wazungu kwa kuwaita Mabeberu wajue tu Baba wa chama chao yaani TANU ilinusuriwa na Beberu muingereza!. La sivyo wasingekuwepo hapa wanapayuka eti "CCM itatawala milele" thubutu!, Nendeni mkamshukuru kwanza beberu Muingereza kwa kuwanusuru!
mtu mmoja ameisababishia nchi shida kubwa sana
twende na membeUbalozi wa Canada umesema unaungana na ubalozi wa Marekani na Uingereza katika kutilia wasiwasi wa uzorotaji wa utoaji haki nchini Tanzania.
Beberu sio tuc. Beberu ni mbuzi dume mkuubwa. Kw kiingereza beberu ni imperialist.Mabeberu
kabudi and so on,kipilimba and the likes mnajiona wababe na mnamshauri vibaya jiwe:nchi haiwezi kutoboa sijui nchi ya viwanda hata mandege yenu mtaambulia hasara tu.jiwe kashindwa kuuza korosho alizodhulumu wakulima kusini kwa wivu kwamba wafanyabiashara wanapata sana kiko wapi leo?tumekosa forex tumeumiza wakulima tumeumiza wafanya biashara mabenki nk, mpo kwa ajili ya wananchi kweli?acheni kubinya uhuru wa kujieleza kama katiba mliyoapa inavyosema 'Angalizo watu wataendelea kusema na kukosoa kadri mnavyotenda vibaya mkitenda vizuri hwatu watasifu bila kulazimishwa wala hatutakiwi kulazimishwa na mtu yoyote hadi wengine wanataka watuchome sindano za vichaa