Canada yaungana na Marekani na Uingereza kuelezea wasiwasi wao juu ya kuzorota kwa Haki za raia Nchini

M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
3,745
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
3,745 2,000
Wazungu wakati mwingine huingilia kati kutusaidia, Hata serikali ya mwalimu Nyerere kama siyo Muingereza kuingilia kati kuinusuru mwaka 1964 kwa kuleta makomandoo kuzima jaribio lile la mapinduzi la akina Kamanda Ilogi sasa hivi huenda CCM insingelikuwa madarakani!.

Maana kama Muingereza aliinusuru serikali ya TANU ising'olewe, hawa vijana wa CCM ya leo wanaowatukana wazungu kwa kuwaita Mabeberu wajue tu Baba wa chama chao yaani TANU ilinusuriwa na Beberu muingereza!. La sivyo wasingekuwepo hapa wanapayuka eti "CCM itatawala milele" thubutu!, Nendeni mkamshukuru kwanza beberu Muingereza kwa kuwanusuru!
 
B

bababikko

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
2,271
Points
2,000
B

bababikko

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
2,271 2,000
Ubalozi wa Canada umesema unaungana na ubalozi wa Marekani na Uingereza katika kutilia wasiwasi wa uzorotaji wa utoaji haki nchini Tanzania.

kabudi and so on,kipilimba and the likes mnajiona wababe na mnamshauri vibaya jiwe:nchi haiwezi kutoboa sijui nchi ya viwanda hata mandege yenu mtaambulia hasara tu.jiwe kashindwa kuuza korosho alizodhulumu wakulima kusini kwa wivu kwamba wafanyabiashara wanapata sana kiko wapi leo?tumekosa forex tumeumiza wakulima tumeumiza wafanya biashara mabenki nk, mpo kwa ajili ya wananchi kweli?acheni kubinya uhuru wa kujieleza kama katiba mliyoapa inavyosema 'Angalizo watu wataendelea kusema na kukosoa kadri mnavyotenda vibaya mkitenda vizuri hwatu watasifu bila kulazimishwa wala hatutakiwi kulazimishwa na mtu yoyote hadi wengine wanataka watuchome sindano za vichaa
 
Q

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Messages
17,693
Points
2,000
Q

Quinine

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2010
17,693 2,000
Wazungu wakati mwingine huingilia kati kutusaidia, Hata serikali ya mwalimu Nyerere kama siyo Muingereza kuingilia kati kuinusuru mwaka 1964 kwa kuleta makomandoo kuzima jaribio lile la mapinduzi la akina Kamanda Ilogi sasa hivi huenda CCM insingelikuwa madarakani!.

Maana kama Muingereza aliinusuru serikali ya TANU ising'olewe, hawa vijana wa CCM ya leo wanaowatukana wazungu kwa kuwaita Mabeberu wajue tu Baba wa chama chao yaani TANU ilinusuriwa na Beberu muingereza!. La sivyo wasingekuwepo hapa wanapayuka eti "CCM itatawala milele" thubutu!, Nendeni mkamshukuru kwanza beberu Muingereza kwa kuwanusuru!
Watoto wa 2000 watajulia wapi hayo, wao waulize historia ya Diamond Platinumz watakwambia hadi babu yake na babu wa Diamond alikuwa na wake wangapi na vimada wangapi.
 
M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
3,231
Points
2,000
M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
3,231 2,000
Wawafukuze hao Mabalozi...na Tukose watalii - Mabeberu...Tukose $$ za utalii

Tubaki na watalii. Mafekino Macho ndogo Sino Chinese...

Tutakula majani Watanzania
 
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
3,163
Points
2,000
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
3,163 2,000
Walipe madeni ya mali walizoiba
 
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
3,745
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
3,745 2,000
kabudi and so on,kipilimba and the likes mnajiona wababe na mnamshauri vibaya jiwe:nchi haiwezi kutoboa sijui nchi ya viwanda hata mandege yenu mtaambulia hasara tu.jiwe kashindwa kuuza korosho alizodhulumu wakulima kusini kwa wivu kwamba wafanyabiashara wanapata sana kiko wapi leo?tumekosa forex tumeumiza wakulima tumeumiza wafanya biashara mabenki nk, mpo kwa ajili ya wananchi kweli?acheni kubinya uhuru wa kujieleza kama katiba mliyoapa inavyosema 'Angalizo watu wataendelea kusema na kukosoa kadri mnavyotenda vibaya mkitenda vizuri hwatu watasifu bila kulazimishwa wala hatutakiwi kulazimishwa na mtu yoyote hadi wengine wanataka watuchome sindano za vichaa
Wameshindwa biashara ya korosho wanadhani biashara ya ndege wataiweza!
 
Forum statistics

Threads 1,326,265
Members 509,458
Posts 32,216,237
Top