Canada ni nchi yenye mamlaka kamili au bado koloni la Mwingereza?

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
1,119
1,095
Hivi Canada bado ipo chini ya Uingereza au inajisimamia kama nchi yenye mamulaka kamili? Sorry nataka kujua maana sijawahi sikia kama Canada wana Rais, au uchaguzi ukifanyika nchi hyo. Ndo maana nipo kwenye kizungumkuti kikubwa juu ya mamulaka ya nchi.
 
Ipo chini ya mti wenye mawingu yanayokwenda Kwa kasi sema barabara zilivyoo kaa gari inayumba sana
 
Nchi nyingi watendaji wakuu wa serikali ni waziri mkuu, ushawaza hilo? Kwa hio sio kila nchi utasikia rais, hio uingereza yenyewe ushasikia rais wake, japan? Etc etc
Hivi Canada bado ipo chini ya Uingereza au inajisimamia kama nchi yenye mamulaka kamili? Sorry nataka kujua maana sijawahi sikia kama Canada wana Rais, au uchaguzi ukifanyika nchi hyo. Ndo maana nipo kwenye kizungumkuti kikubwa juu ya mamulaka ya nchi.
 
Canada ni Constitutional (Democratic) Monarchy. Kwa maana ya kwamba kiongozi wa Serikali ni Waziri Mkuu wa Canada ndugu, Justin Trudeau.

Mpaka hapo tu, Canada ni nchi huru yenye Mamlaka yake kamili ama Independent Sovereign State na si 'Koloni'.

Queen wa Uingereza ni Head of State ama Mkuu wa nchi lakini katika Constitutional Monarchy, Queen hana mamlaka wala ushawishi katika maswala ya Kisiasa ama Kiserikali.

Canada kama ilivyo Australia na pia Uingereza yenyewe, Malkia anasimama kuwa kama Kiongozi wa kitamaduni ama niseme Ceremonial Leader ambaye mamlaka yake hayaingiliani na mamlaka ya Kiserikali.
 
Ongezea na New Zealand, Jamaica n.k ili ajue Queen ni mtata
 
Nchi nyingi watendaji wakuu wa serikali ni waziri mkuu, ushawaza hilo? Kwa hio sio kila nchi utasikia rais, hio uingereza yenyewe ushasikia rais wake, japan? Etc etc
Umejibu kwa kufail...

Watu wanafail Mitihani kwa Maswali Mepesi maana Wanajibu watakavyo wao huku hawajijui kuwa hawaeleweki... Division 5.

Soma Swali uelewe ndipo ujibu.... Ubongo unatakiwa utumike ipasavyo... Pombe ni kitu mbaya sana mchana.
 
Hivi Canada bado ipo chini ya Uingereza au inajisimamia kama nchi yenye mamulaka kamili? Sorry nataka kujua maana sijawahi sikia kama Canada wana Rais, au uchaguzi ukifanyika nchi hyo. Ndo maana nipo kwenye kizungumkuti kikubwa juu ya mamulaka ya nchi.
Navyofahamu mimi Canada bado imo ndani ya Muungano wa Falme za Uingereza na Mfumo wao wa Utawala ni Same.
uraisi hakuna huko bado wanamtumainia Queen of England kwani ndie Muanzia hilo Taifa akishirikiana na Wafaransa but Wacanada kwa wingi wao walichagua kuendelea na mfumo wa Ufalme wa Uingereza. kama mengine sijui zaidi. Kama Waziri mkuu wao Huapishwa na Malikia au la kama Ilivyo New Zealand na Australia... Kiufupi ni asili moja hao Wazungu ndio maana kujitenga hawawezi.
 
Canada ni Constitutional monarchy state (Dominion government) ambapo malkia wa Uingereza ni ceremonial head of state. Malkia ni ceremonial leader kwa nchi zingine 16 zikiwemo Australia, Farao islands, Jamaica, New Zealand nk. Tanganyika nayo baada ya uhuru ilikuwa mfumo unaofanana na huo kwa mwaka mmoja
 
Tungeendelea na kuwa na Malkia kama ceremonial head of state tungekuwa mbali sana kiuchumi, kisiasa, kijamii na hata kidemokrasia.

Ni wazi tusingepata watawala wanaotawala bila kuheshimu haki za binadamu na utawala wa sheria. Tusingekuwa hapa tulipo.
 
Hadi sasa kuna nchi 15 ambazo bado zipo chini ya Malkia wa Uingereza ikiwemo Canada ambazo zinaongozwa na Waziri mkuu na Malkia wa Uingereza ndio malkia wao pia na ndio kila kitu kwao.
1. Antigua and Barbuda
2. Australia.
3. Barbados
4. Canada
5. Grenada
6. Jamaica
7. New Zealand
8. Papua New Guinea
9. Solomon Island
10. St. Lucia
12. St. Kitts and Nevis
13. St. Vincent and Grenadines
14. The Bahamas
15. Tuvalu
 
Back
Top Bottom