Canada kuitambua Taifa la Palestina Mwezi Septemba

Canada kuitambua Taifa la Palestina Mwezi Septemba

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,447
Reaction score
2,094
Canada imetangaza kuwa inapanga kuitambua rasmi Palestina kama taifa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa mwezi Septemba, alieleza Waziri Mkuu Mark Carney, hatua inayoongeza shinikizo kwa Israel wakati njaa ikizidi kuenea Gaza

Tangazo hili linakuja baada ya Ufaransa kusema wiki iliyopita kuwa nayo itaitambua Palestina, na siku moja tu baada ya Uingereza kusema kwamba nayo itaitambua Palestina kama taifa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa mwezi Septemba, iwapo mapigano huko Gaza – sehemu ya ardhi ya Palestina inayokaliwa na Israel – hayatasitishwa kufikia kipindi hicho

======

1753942546298.png


Canada plans to recognize the State of Palestine at a meeting of the United Nations in September, Prime Minister Mark Carney announced on Wednesday, ratcheting up pressure on Israel as starvation spreads in Gaza

The announcement came after France said last week it would recognize a Palestinian state and a day after Britain said it would recognize the state at September's U.N. General Assembly meeting if the fighting in Gaza, part of the Palestinian territories occupied by Israel, had not stopped by then

Carney told reporters that the reality on the ground, including starvation of people in Gaza, meant "the prospect of a Palestinian state is literally receding before our eyes."
"Canada condemns the fact that the Israeli government has allowed a catastrophe to unfold in Gaza," he said.
Carney said the planned recognition was based in part on repeated assurances from the Palestinian Authority, which represents the State of Palestine at the U.N., that it was reforming its governance and is willing to hold general elections in 2026 in which Hamas "can play no part."

The announcements by some of Israel's closest allies reflect growing international outrage over Israel's restrictions on food and other aid to Gaza in its war against Hamas militants, and the dire humanitarian crisis there. A global hunger monitor has warned that a worst-case scenario of famine is unfolding in the enclave.
The Gaza health ministry reported seven more hunger-related deaths on Wednesday, including a two-year-old girl with an existing health condition. The Hamas-run government media office in Gaza said the Israeli military killed at least 50 people within three hours on Wednesday as they tried to get food from U.N. aid trucks coming into the northern Gaza Strip.

Israel and its closest ally, the U.S., both rejected Carney's statements.
"The change in the position of the Canadian government at this time is a reward for Hamas and harms the efforts to achieve a ceasefire in Gaza and a framework for the release of the hostages," the Israeli foreign ministry said in a statement. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu made similar comments after the French and British announcements.

A White House official, speaking on condition of anonymity, said President Donald Trump also sees recognition of the State of Palestine as wrongly "rewarding Hamas."

U.S. special envoy Steve Witkoff is due to travel to Israel on Thursday to discuss Gaza. Trump said this week he expected centers to be set up to feed more people in the enclave

The State of Palestine has been a non-member observer state of the U.N. General Assembly since 2012, recognized by more than three-quarters of the assembly's 193 member states

Jonathan Panikoff, former deputy U.S. national intelligence officer on the Middle East, said recognition of Palestine is intended "to increase pressure on Israel to compel it to return to a two-state paradigm." But he said Canada's announcement is "unlikely to be anything more than symbolic and risks undermining their relationship with a longtime ally in Israel."

French President Emmanuel Macron, who spoke with Carney before Canada's announcement, said the recognition of Palestine will "revive a prospect of peace in the region."

Source : Reuters & DW Kiswahili
 
Israel inazidi kukimbiwa na washirika wake wenye akili kutokana na unyama mkubwa wanaofanya mashariki ya kati.

Wao walidhani wakitumia tukio la 7 October 2023, kama njia ya kuhalalisha unyama wao walioufanya miaka mingi ingesaidia kuungwa mkono na Dunia. Badala yake ndo kwanza inatengwa na kukimbiwa hata na wale waliokuwa wakiiunga mkono kwa dhati bila kufahamu unyama na roho mbaya za kinyama walizonazo waisrael.

Israel imeshindwa vita na Hamas. Sasa inatumia kichaka cha njaa, mateso na mauaji kwa watoto na kina mama kama njia ya kujitafutia ushindi wa vita. Kitu ambacho nchi zenye watu wenye akili kama vile Ireland, Spain, Norway, Ufaransa, UK na Canada wamekishtukia.

Huko mbele Israel itabakia kuungwa mkono na wayahudi wa bonyokwa tu kutokana na empty box za vichwa vyao. Ila wenye akili watajitoa kuishangilia na kuiunga mkono nchi hiyo inayotawaliwa na wazungu kutoka Ulaya mashariki waliojivika ngozi ya uyahudi wa mchongo kwa ajili ya masilahi ya Marekani.
 
Uongo ule wa kampeni ya Genocide na ethinic cleansing kumepoteza nguvu, sababu ni uongo raia wa Gaza wameongezeka idadi badala ya kuwa Genocide imekuwa increasing of Peoples sasa umehamia kwenye Njaa.

Kumsingizia Israel uongo wazushi hamtafanikiwa kamwe. sasa utambue Taifa ambalo halijawahi kuwepo na halitakuja kuwepo, labda wawape ardhi kwenye nchi zao.

Dawa ya Jeuri ni Makusudi Ardhi yote ya Gaza kuwa ya Jewish again hadi Mungu aliyewapa atafurahi. Mbwai mbwai tu
 
Uongo ule wa kampeni ya Genocide na ethinic cleansing kumepoteza nguvu, sababu ni uongo raia wa Gaza wameongezeka idadi badala ya kuwa Genocide imekuwa increasing of Peoples sasa umehamia kwenye Njaa.

Kumsingizia Israel uongo wazushi hamtafanikiwa kamwe. sasa utambue Taifa ambalo halijawahi kuwepo na halitakuja kuwepo, labda wawape ardhi kwenye nchi zao.

Dawa ya Jeuri ni Makusudi Ardhi yote ya Gaza kuwa ya Jewish again hadi Mungu aliyewapa atafurahi. Mbwai mbwai tu
Mungu aliyewapa ndie unaye muabudu ?
 
Back
Top Bottom