Mkuu inategemea na antibiotic ipi unatumia,
Some of the antibiotics are synergistic yaani kwamba ukitumia mbili effect yake ya kutibu inakua kubwa zaidi kuliko kutumia moja, kwa mfano unaweza kumeza penicilin na aminoglycosides kwa pamoja bila shida yoyote.
Lakini sasa nyingine huwezi kumeza kwa pamoja kwa sababu ya utafauti wa kazi zao.
Antibotics hufanya kazi kwa njia moja kati ya hizi mbili, either kwa kuua bacteria (bacterial cidal) au kuwafanya bacteria wasizaliane (bacterial static), kwahiyo huwezi kunywa hizo dawa mbili ambazo zina mechanism tofauti kwa wakati mmoja ,utakua unawauwa at the same time unawafanya wasizaliane, ambacho ni kitu hakileti sense...