Can you spot what's wrong in this picture?

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
Swali hili ni kwa mujibu wa Sky News na Kwa Niaba yao majibu yatawafikia kupitia ukurasa wao wa twitter
 
Mgonjwa ni huyo alievaa yellow alieshikwa mkono kupanda ngazi alafu kitanda kitupu hakuna mgonjwa lipo shuka tu
 
​Easy, wamesahau kuwasha taa ndani ya ndege.
 
Hali Tete uku kwa wezetu
Sie tulikuwa tushapanga safari December tuwe uko home jana tumepewa mashariti magumu sana ya kutoka Nje ya marekani kwa mimi naona kama nitashindwa hivi
 
rpg je hawa....vipi yani kunatofauti kubwa wangojwa wa uaya na ketu Africa.
 
wamekwambiaje? au unasafiri ndani ya mifuko ya rambo yani huyo hadi anasoma kitabu

Mashariti Karibu 20 pamoja na mambo ya kuyafanya mpaka siku nasafiri na kurudi ndo hivyo sasa wasiwasi wetu ni ukiingia Africa mashariki tu kurudi huku ndo tunasahau aisee ngoja niweke hapa ile official Documment waliotutumia.
 
rpg je hawa....vipi yani kunatofauti kubwa wangojwa wa uaya na ketu Africa.
View attachment 193904

Kikubwa ni kuwa, jamaa huwa wako serious na kila kitu, hata kwenye suala muda kwa mfano! Sisi kila kitu easy, ukimwambia mtu tekeleza hili kesho, anafanya after one week.

Hawa jamaa wenye troll hawana tofauti nasi, unakuta wizara husika imepewa fungu la kununua PPE, wao wanaona ndo kwanza mwanzo wa utajiri binafsi huku watu wakifa. Huwezi kuniambia hayo mammilioni yanayotolewa na wafadhili halafu mtu anavaa rambo miguuni kwa kukosa safety gears. Siitofautishi hii na ile ya kula nyasi ndege innunuliwe!
 
EBOLA is a hoax. Wamarekani noma sana aisee. Ni njia tu ya kuweka jeshi pale ili kusimamia uibaji wa mafuta na almasi. Bila kuwa na vyanzo vya bure vya mafuta na mali asili, Marekani inakufa.
Wewe watu wanapata maambukizi wewe unatuma wanajeshi na bunduki? Ili wafanyeje sasa, wapige risasi virusi vya ebola!
Hio ilikua mbinu tutaingieje West Africa. Bring Back Our Girls ilidoda. Wamarekani hawakua tayari kukubali wanajeshi wao waende kisa wanawake wakiafrika mia 2 wametekwa, it didnt stirr up enough emotion japo hadi kina JZ na Michelle Obama walikazana sana na message za twitter na fb, utafikiri basi hao Boko Haram wanashinda twitter na fb huko porini kwao.
Wamewaza wee wataingieje, then boom, EBOLA, na kuonyesha kuwa hili sio tatizo la huko tu hata nyumabni linafika, kila siku tunaletewa habari ya NEW INFECTION AT HOME, picha ya haraka tena ya zamani kidogo ya "mgonjwa" inarushwa, Halafu kama kawa huwa anakua hana ndugu ambaye yuko tayari kuwa interviewed na wanafichwa for secirty purposes kwa mda!

China na Russia wanajua mchezo mzima wanaangalia tu.

Saddam wawatu alisingiziwa tu na WMD, Gaddafi wa watu hata sababu hatujui vizuri, haya tulipewa Al-qaeda na Osama, ngoma ilivyo chuja tuna ISIS ambayo kudadeki haina hata dalili ya kuishiwa silaha na mafuta sijui wanatoa wapi?

Tunarushiwa mapicha ya watu wanachinjwa ila ziko recorded kwa hali ya juu sana, na hazina kasoro yeyote hata mtu kukatiza nyuma, yani utafikiri pana director tena aliesomea mpaka mwanga na angle,wanaochinjwa hata hawaonyeshi woga wala kujihangaisha, kakisu kaliko shikwa na jamaa hakachinji hata mbuzi ila eti kanapita kwa binadamu kama kuku, mchinjaji anavaa kininja sasa sijui mtu alietayari kufa na kujiua anaogopa nini kuonekana sura, halafu anaongea British English ili tu kuwaogopesha zaidi wananchi kuwa hawa watu wapo hata mittani kwetu ulaya.
Hao waliochinjwa wote wana historia ndefu ya jeshi, lakini ghafla wamegeuka kuwa watoa misaada na wanahabari.


Haya bana wacha tukubali tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…