Can You Imagine?

Sikatai, lkn kila mwanadamu kaumbika ati maana hakuna mwanadamu asiye na umbo!
 
hahahaa! Jaman jf!! Mvua ya kutengeneza! Nimecheka kwa sauti bila kujitambua lol!

Pole angalia usipaliwe hapo ulipo ila kama umemjua siri yako usimwambie mtu maana ni siri....
 

Faiza huyo anatafuta :baby:
 
Amavubu ndio maana amepewa ulaji na papa mukulu,muoaji anajishikiza tu wenye visu wanaita tu muda wowote looh!
 
Last edited by a moderator:
Hajamfikia yule mwingine wanaesema chakula cha mzee wa mvua ya kutengeneza yule namkubali....


Tupiamo kapicha basi Mkuu ili tusafishe tongo tongo na kula kwa macho!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…