Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,245
- 2,128
Habari wadau na wapenda buradani.
Unaelezea vipi kuhusu hiii chat ya iTunes~kenya kwa wasanii wetu Wawili.
Unaelezea vipi kuhusu hiii chat ya iTunes~kenya kwa wasanii wetu Wawili.
Hello ya Adela mbona hujashangaa... Tunapenda kutothamini vitu vyetu pumbafuuuuKenya nao khaaaa yan mpaka leo wanasikiliza mwana.........kolomije tulishausahu huo wimbo