Can you eat that?

Hayo makitu na kichuri usipime! Boflo karibu Tarime uenjoy store za mbegu na kichuri
 
pumbu aka korodani za cow ni nzuri sana, tamu
 
Ewaaaa....kule kwetu yanapendwa sana hususan yale ya mbuzi!
Yanapendwa mno
Afu wanawake hamna kula, yanachomwa na kuliwa huko huko wakati wanachinja na 'ndisani' na ile damu ya kukaanga, nimeisahau jina

Umeona eeeh...watu wanakula supu ya pweza tu.
Kwa ambao si wafugaji hawawezi jua, ni kama mie navyomwogopa pweza hata kumtizama tu
 
Yanapendwa mno
Afu wanawake hamna kula, yanachomwa na kuliwa huko huko wakati wanachinja na 'ndisani' na ile damu ya kukaanga, nimeisahau jina


Kwa ambao si wafugaji hawawezi jua, ni kama mie navyomwogopa pweza hata kumtizama tu

teh teh teh...watu wa kileo tumezidi uthungu...kila kitu kinaonekana buchani tu.Hatusogei machinjioni
 
Yanapendwa mno
Afu wanawake hamna kula, yanachomwa na kuliwa huko huko wakati wanachinja na 'ndisani' na ile damu ya kukaanga, nimeisahau jina

Ile damu inaitwa kibhulanga....(nadhani huko Kaskazini ndo inaitwa kisusio)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…