Waaaaat
hasa kwenye kukununulia magali!!Aisee ya kweli hayo? I wish namiye nimpate wa hvyo!! Loh
[h=5].....Pamoja na vyote lakini kumbuka mnachaguana ili kuishi kwa shida na raha na haijalishi nani ananunua mahitaji ya nyumbani au kulipa bili kwa sasa.........[/h]
Mie wangu ana nipenda hivyo nami pia na mpenda
utamtoa wapiiiiiiiiiiiii. khaaaaaaaaaaaa eti akuhudumie three years then wanaume wenyewe majanga wakishafanikiwa hawachelewi kutafuta nyumba ndogo
Hivi mwanaume wa hivi yupo duniani? Kama yupo naomba Mungu anikutanishe nae.
Unaweza kumvumilia mwanaume hata kama hana kazi but tatizo akipata kazi na pesa ya kutosha, maaanina.......utalala peke yako usiku, hufai kutoka nae out, wewe sio mnzuri tena, hujui kutumia maneno kibaoooo, utaishia kuliaaaa weee mpk utakufuru mungu awatie umaskini tena,
Pesa humbadilisha mtu.
sio wote mama
sio wote ni majanga samaki mmoja akioza mtoe mtupe
wengi walizan hii stor kuna1atazngua
Aisee ya kweli hayo? I wish namiye nimpate wa hvyo!! Loh