Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
dirty girl



na mnavyojua kukunja jaman unatoka miguu haina nguvu inatetemeka kweli halaf hata kesho yake huna pesa ya kula kuku na energy drink ili kuupa mwili nguvu eti hata wewe utaweza kwelidirty girl



na mnavyojua kukunja jaman unatoka miguu haina nguvu inatetemeka kweli halaf hata kesho yake huna pesa ya kula kuku na energy drink ili kuupa mwili nguvu eti hata wewe utaweza kweliHilo nalo neno. Ulivyosema hivyo umenikumbusha kuna mtu alianzisha uzi akawa anasema huyu mkwepu jr ni nani mbona huwa analike na hacomment chochote unakuta uzi una comments 2000 ila analike zote.
Jamaa mmoja akamjibu "mwenzio anapita tu analike bila kusoma mwenye matatizo ni wewe unayeanza kukagua comment moja moja kiasi cha kujua kuwa kalike comments zote 2000". Aisee nilicheka sasa ndiyo haya haya.
😅😅Kuna mmoja kaja badala atafute helaa anakuja kutupinga pinga
Hapana siwezina mnavyojua kukunja jaman unatoka miguu haina nguvu inatetemeka kweli halaf hata kesho yake huna pesa ya kula kuku na energy drink ili kuupa mwili nguvu eti hata wewe utaweza kweli
Unaonyesha umatirio waifu eh....Najisikia kawaida tu maana jukumu la kunitunza ni la wazazi wangu..
Wananitunza vizuri sijawahi kosa chochote.
Yaani full mfurugano. Halafu na yeye kama kawaida yake akatembeza likes tu hakutia neno akaacha watu wanafurugana wenyewe.Ule Uzi alioanzishiwa mkwepu
Kulikuwa na mtifuano nikabaki nacheka mwenyewe.
Sasa mbona umeongea kinyume mkuuUnaonyesha umatirio waifu eh....
Hapana siwezi
Kwanza nataka niwe kama yule mganda
NilionaYaani full mfurugano. Halafu na yeye kama kawaida yake akatembeza likes tu hakutia neno akaacha watu wanafurugana wenyewe.





HahahaUnaonyesha umatirio waifu eh....
Kweli eh...Hahaha
Hapana
NdiyoKweli eh...
Haya....Ndiyo
Cute B aliwahi kunipa hiki cheo kipindi kile najiita Edelyn. Teh enzi hizo naonekana mama mtu mzima hata kina FaizaFoxy wadogo basi na mie nikawa najiooooona.
Nikitoka nje ya JF mama ananiita ananituma dukani![]()





























Una mchango gani kuhusu mada mezani?Haya....
Mchango wangu mdogo sana...Una mchango gani kuhusu mada mezani?
OohMchango wangu mdogo sana...
Wanawake wa sasa wanashida dhiki sana, nadra sana kupata wasiotamani au kutaka pesa ya mwanaume