Unatakiwa uwe na akili nusu ndipo utaweza kufanya hivyo, otherwise utakuwa unataka watu wasome historia yako. Kwani hilo jiwe walipojiegesha wana mkataba nalo?
Hawana mana hawa,walishawahi kuwa na shindano la kucheza karata sehemu iliyozungushiwa wigo mkiwa mmekaa,kisha anaingizwa ng'ombe kichaa humo mshindi ni yule atakayekuwa wa mwisho kuinuka yaani hata lama Ling'ombe linakuandama wewe kama unataka ushidi usikimbie....
Unatakiwa uwe na akili nusu ndipo utaweza kufanya hivyo, otherwise utakuwa unataka watu wasome historia yako. Kwani hilo jiwe walipojiegesha wana mkataba nalo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.