ahhh hapana ni kwamba achague past au present...kuna kijipanya kimoja nilitaka kukisajiri sasa kabla sijampa kibali cha kujiunga na timu ili nijue ntamchezesha namba gan et akaanza habari u knw beby lets go visit ma x...ooh she z ma frend ...oohh beby she z sick....nkamwambia wew unijui twend..kat kat ya folen nkafanya kudrop tu uyooo mpk keshokutwa ajui nafananaje....UO NI UONGO WA HALI YA JUU asilimia 1 ya 100 nmeona rafik angu mmoja ivi anamsaidia x wake tena uyo demu alimwacha jamaa kwa mbwembwe na akaenda kwa mwenye ela ili aolewe araka araka na sasa katupwa kaolewa kweli bt ni km ajaolewa ndo anataka kurud kwa jamaaa wkt ana gf mpya sasa anachofanya ni msaada tu wa apa na pale ....uyu ni mkweli cz najua afany maafa bt asilimia kubwa wengneo wanatafuta kurudiana...MIMI STAK UPUUZI HUU...ata msg ya hi nkikiuta nalianzsha tena panakuwa apatoshi....
hahahaah sawa dark city nimekupataKweli kabisa...ila maandishi yako yanahitaji energy zaidi kuyasoma especially kwa wale tulioshuhudia bendera ya Mwingereza ikitelemshwa rasmi!
hahahaah sawa dark city nimekupata
ahhh asi unajua tena uswahilini uku atutumii viswahili vya bakita mara nyng ndo mana najisahau bt m sorryyy ntajitaidi kunyooooooosha maandish bin kiswahili!!!!
mliipandshaje bendera?
Siku chache zilipita nilimwona wife akiongea na x wake nilipomwuliza kulikoni kajibu hawakuanchana kwa kwakungombana hii inamaana gani does it mean they are still friends, I have never talked to her now is a third day. the answer was too painful and all the feels about her almost have gone.inawezekana kama hamkuachana vibaya....na pia itategemea mko katika hali ipi ili isiweze kuleta tatizo katika uhusiano mpya utakaokuwa nao.....ila watu wengi hawapendi kuwaona wapenzi wao wakiwa na mawasiliano mazuri na maex wao
Siku chache zilipita nilimwona wife akiongea na x wake nilipomwuliza kulikoni kajibu hawakuanchana kwa kwakungombana hii inamaana gani does it mean they are still friends, I have never talked to her now is a third day. the answer was too painful and all the feels about her almost have gone.
Kweli kabisa...ila maandishi yako yanahitaji energy zaidi kuyasoma especially kwa wale tulioshuhudia bendera ya Mwingereza ikitelemshwa rasmi!
z it rlly possible for x- lovers to be friends, hang out, help each with work staff and so forth, can they?
Sawasawa ndg yangu !Dadangu, kuishi kwingi ni kuona mengi. Sisi bado tunaendeleza mila wakati nyie wa dot com mko mbele sana. Ni vizuri kama mtakuwa mnatukubaga kumbukaga ili hata miwani isije kupasuka!
Bendera ilipanda vizuri tu, si unakumbuka akina Comredi Nyirenda walivyowasha mwenge kule mlimani kwa akina Mangi? ....Yaani tumeona mengi eti...We fikiria toka akina na Kambarage hadi mtaalamu wa kucheka cheka sisi bado tupo tu.
Ubarikiwe mdogo wangu,
Maj. Gen DC (1947)
hahaha kweli kabisa mkulu DC, nanona ni style yake ya uandishi maana hata mi pia nimeshuhudia bendera ya mkolodi gavana Twinning ikishushwa sasa sema mapenzi yananifanya nisome tu manake pia it is entertaining kwa vistori anavochomekea huko kati, imagine kwenye foleni alifunguaje mlango wa gari akachomoka au alibanwa akasema anaenda ladies?
mmh we kaizer toka zako ..dunian umekuja mwaka 1974 ...sasa iyo bendera uliishuhudia wap?
au bendera ya chausta maendeleo?
valeur ipo leo?
hahhahhahaaaaaa we mwongo habari za duka la kaya umesimuliwa na royaroy!!!!!LOL habari ndo hiyo...ningemsomaje mkulu DC apo juu? nilikuwa maji lakini bado nikaona hii hoja hii imesema ukweli....wewe hata habari ya 'duka la kaya' umeisoma vitabuni eeh? hahahahah
Chaust=chama cha ustawi wa jamii....mi nipo ISC bana umesahau au membership yako imeexpire?
Goodmorning Rose*
hahhahhahaaaaaa we mwongo habari za duka la kaya umesimuliwa na royaroy!!!!!
tangue mvnpk apo nkakupge supu bwana!!!!!!
kwaiyo kutaka kusemaje labda apo pa roy sjazaliwa nae tumbo moja?roy asi ni mtakatifu jaman?kwan ana madhara yeyote kwa bnadamu eva?mbona kuntisha bwanawewe?Rose we huyo ni Sec gen wa chama chatu....ndo unamuaddress uivyo kwani mmetoka tumbo moja:jaw: Duka la kaya sio wa kusimuliwa....nimekuwepo kunga Dark City aje hapa atoe ushuhuda jinsi tukipanga foleni...sukari kilo moja tu sio zaidi, sabuni kipande kimoja, etc
Apo pengine poa mi ntajua nitakachokupiga nacho...of course ur favourite eeh:A S thumbs_up:
kwaiyo kutaka kusemaje labda apo pa roy sjazaliwa nae tumbo moja?roy asi ni mtakatifu jaman?kwan ana madhara yeyote kwa bnadamu eva?mbona kuntisha bwanawewe?
utanchapa na nini wewe?mintakuchapa kwa maombi tu utashndwa na kulegea mwenyewe!!!!!!!
mmh mi chichemi!!!!!!hahaha hapo nadelegate kwa katibu St Roya Roy atakujibu veema kabisa
sasa kama unataka kujua kama RR ana madhara au la.....tena kwa eva....hebu jaribu....:A S thumbs_up: