VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Kila mtu ana good qualities na bad qualities, kwahiyo kama ni kweli mtu unaweza ukajifunza kumpenda mtu kwa ku concentrate kwenye mazuri yake, Je is it not wise kutafuta mtu anayekupenda kwa dhati nawe ukajifunza kumpenda kuliko kumforce asiyekupenda ili akupende.
Kupenda ni mazoea am sure ukimzoea mtu lazima kuna attraction itatokea so long as you have something in common. Aint it great to know that someone will die for you... even if she/he hakuwa your first Choice. Kumbuka "love at first sight is just physical attraction" and love is more than that..
Tatizo kubwa ni usanii wa hali ya juu katika mapenzi. Unaweza kuyaamini maneno ya mtu kwamba anakupenda kwa moyo wake wote lakini kumbe maneno hayo hayana maana au uzito wowote kwa huyo ayasemayo. Hata mapenzi nayo yameshachakachuliwa.
Kila mtu ana good qualities na bad qualities, kwahiyo kama ni kweli mtu unaweza ukajifunza kumpenda mtu kwa ku concentrate kwenye mazuri yake, Je is it not wise kutafuta mtu anayekupenda kwa dhati nawe ukajifunza kumpenda kuliko kumforce asiyekupenda ili akupende.
Wewe unaweza kujifunza kumpenda je yeye anakupenda? Wanaume cause ndio walioanzisha uongo katika mapenzi ndio wameambukiza wadada. Mbaba akishakutamani atatumia uongo wote aliofundishwa na mababu zake mpaka akupate so wababa msilalamike mmeanzisha wenyewe
tunaweza kujifunza kupenda ila kwa ushawishi.
Kama nataka mtu anipende nina kazi ya kumshawishi kwa vitendo na sio kwa maneno kama wengi mnavyofanya. Sio kila siku una kazi ya kupiga simu na msg za i love u kibao.
Fanya mambo yatakayomvutia.
Hakuna wanaopendana kwa level sawa lakini matendo yao yanapoenda sawa tunaconclude kuwa wana mapenzi sawa.
Kwa upeo wangu wasichana ni rahisi kujifunza kupenda kuliko wanaume.
Bora nimfate anayenipenda nijifunze kumpenda.
love love love .........omg.........
Tatizo kubwa ni usanii wa hali ya juu katika mapenzi. Unaweza kuyaamini maneno ya mtu kwamba anakupenda kwa moyo wake wote lakini kumbe maneno hayo hayana maana au uzito wowote kwa huyo ayasemayo. Hata mapenzi nayo yameshachakachuliwa.
Kabisa Bubu! Usanii wa hali ya juu unatawala mapenzi. Unakuta mtu anakudanganya au anakuibia afu ukimbamba bado ata profess kuwa anakupenda na umsamehe eti aliteleza tu na yadi yadi yada lukuki. Ama kweli usanii rules...
LAKINI MWANAMKE ANAWEZA AKAWA HAKUPENDI ILA AKAJIFANYA ANAKUPENDA ILI UMTIMIZIE MAHITAJI YAKE NAWE USIGUNDUE
Tunaweza kujifunza kupenda ila kwa ushawishi.