Can this end justfy the means?!

SAWA,PANGEKUWA PADUCHU!lakini hii kanuni ya maadili IKO SAHIHI!?!wazee wakujilipa tunasononeshwa sana na hiii kanuni:D

wewe nawe, maadili gani? kwani huyu baba maadili yake ndio yalikuwa sahihi?.....
 
nasema kweli kumwaibisha shetani.....cjawahi/kufikiri hata kumsachi mr lakini ningekuwa kwenye ctuation kama ya huyu mama kwa kuiokoa familia yangu ningefanya alivyofanya huyu mama......w
kwa hiyo UNGEIBA!
ungepingana na kanuni ya kwanza ya maadili!....
 
Sijawahi kuona mke anamwibia mumewe! Ni sawa na kuhamisha hela mfuko wa kushoto kwenda wa kulia! Thats It! Mama alikuwa anachukua hela ZAKE! Kipato cha mme ni mali ya mke if yo knoo woram saying. Mi wife huwa anapekuaga wallet langu na kujisevia atakavyo ili mradi anibakishie za kutosha serengeti kadhaa na ndovu/taska kwa wapwa zangu. So long zinaenda kwenye matumizi SAHIHI, sioni kama kuna tatizo lolote!
 
nasema kweli kumwaibisha shetani.....cjawahi/kufikiri hata kumsachi mr lakini ningekuwa kwenye ctuation kama ya huyu mama kwa kuiokoa familia yangu ningefanya alivyofanya huyu mama......w

Lakini ulikuwa una haki kutumia njia stahili za kwenda kudai haki za msingi kama kwenda kazini kwa Mr. ukawa unapewa nusu ya mshahara wa Mr. wako kuliko kumsachi mfukoni.
 
unajua kuiba wewe? huyu kahamisha kilicho halali kutoka mfukoni kwa mume wake na kukifanyia maendeleo kwa ajili ya familia.....
lakini ameiba!kuhamisha huwa hakufanyiki kwa mtindo wa kusachiana!........amefanya kitu chema yes/no!?hilo hamna anaejua!kwa mfano huyu mzee angekuwa na uwezo wa kununua nyumba nyingine unadhani huyu mama angeliweka wazi hili swala?
 
Yeah! Ukiangalia sana, she was not stealing! Alikuwa anachukua fedha zake ambazo mwenzake angezitumia vibaya. Mnapooana mnakuwa kitu kimoja (Hope, pale msimbazi senta ilikuwa mada hii). Yaani mke na mme mnaunganishwa mnakuwa kitu kimoja. Sasa how can someone steal from himself? Ni kama kutoa hela mfuko wa kushoto ukahamishia wa kulia.

duu ungekuwa karibu yangu cjui ningekupa nini leo hii....very well said!
 
Lakini ulikuwa una haki kutumia njia stahili za kwenda kudai haki za msingi kama kwenda kazini kwa Mr. ukawa unapewa nusu ya mshahara wa Mr. wako kuliko kumsachi mfukoni.
hapa ndipo kanuni ya kwanza ya maadili inapochukua pointi
 
Lakini ulikuwa una haki kutumia njia stahili za kwenda kudai haki za msingi kama kwenda kazini kwa Mr. ukawa unapewa nusu ya mshahara wa Mr. wako kuliko kumsachi mfukoni.

Hahaha! Kuna wanaume wengine wakiombwa inabidi mwanamke a keep distance! Mke akienda kazini kwa mmewe kudai haki, ujue tatizo jingine litazuka. Talaka!
 
dhambi ni wizi kwa upande wa mwanamke!...na kutotimiza wajibu kwa upande wa mwanaume!

hajafanya dhambi yoyote mama wa watu, dhambi ipo kwa huyo baba kwa kumfanya mkewe afanye ambacho hakutegemea/hakupenda kufanya....upo hapo?
 
Hahaha! Kuna wanaume wengine wakiombwa inabidi mwanamke a keep distance! Mke akienda kazini kwa mmewe kudai haki, ujue tatizo jingine litazuka. Talaka!

Hata kama atapewa talaka lakini haki itachukua mkondo wake mama atapewa sehemu ya mshahara wa Mr.
 
duu ungekuwa karibu yangu cjui ningekupa nini leo hii....very well said!

Uwe unagonga japo na tu SENKSI basi. Najua leo za Geoff sitazipata! Chochote kile unaweza nipa kwa ruhusa ya ZD. Hahaha!
 
Sijawahi kuona mke anamwibia mumewe! Ni sawa na kuhamisha hela mfuko wa kushoto kwenda wa kulia! Thats It! Mama alikuwa anachukua hela ZAKE! Kipato cha mme ni mali ya mke if yo knoo woram saying. Mi wife huwa anapekuaga wallet langu na kujisevia atakavyo ili mradi anibakishie za kutosha serengeti kadhaa na ndovu/taska kwa wapwa zangu. So long zinaenda kwenye matumizi SAHIHI, sioni kama kuna tatizo lolote!
lakini walau unajua pesa inakwenda wapi,pia unajua kuwa waifu anakusachi!imajini siku moja anaku-SURPRISE na bangalow anakwambia haya ni matokeo ya kukusachi!...:D
 
hajafanya dhambi yoyote mama wa watu, dhambi ipo kwa huyo baba kwa kumfanya mkewe afanye ambacho hakutegemea/hakupenda kufanya....upo hapo?

Mama akafanya dhambi amehamisha pesa mfukoni mwa Mr. bila lidhaa ya mwenye pesa hapo tayari dhambi inapotokea kwa nini ahamishe kwa kificho? tena anategea yupo bwiiii
 
lakini walau unajua pesa inakwenda wapi,pia unajua kuwa waifu anakusachi!imajini siku moja anaku-SURPRISE na bangalow anakwambia haya ni matokeo ya kukusachi!...:D

Kwa kamshahara kangu, na bili za ulabu nazolipa, hata asachi na kuuza wallet kabisa. Hawezi kujenga bangaloo. Na akijenga lazima kuna searching nyingine anaifanya kwa mtu mwingine!
 
Lakini ulikuwa una haki kutumia njia stahili za kwenda kudai haki za msingi kama kwenda kazini kwa Mr. ukawa unapewa nusu ya mshahara wa Mr. wako kuliko kumsachi mfukoni.

kwanini nijichoshe na kuna njia mbadala kama hiyo? tena huyu mama alikuwa anachukua kiakili kweli, mie ninavyojijua na hivyo vitimbi vyake vya bar ningechota mpaka angenishtukia....ana akili za kumwaga huyu mama...btw mambo ya ndani kwangu ni ya ndani kwangu........
 
Nini tofauti ya Kuiba na Kuchukua kisicho chako?
no difference!KUIBA NDO KUCHUKUA KISICHO CHAKO!haitajalisha umechukua cha nani!........

may be tuweke swali kama hili....DO WE HAVE LESSER EVILS IN LIFE?if YES,THEN COULD THIS WOMAN HAVE GONE FOR THE LESSER EVIL FOR THE SAKE OF HER FAMILY?
 
Mama akafanya dhambi amehamisha pesa mfukoni mwa Mr. bila lidhaa ya mwenye pesa hapo tayari dhambi inapotokea kwa nini ahamishe kwa kificho? tena anategea yupo bwiiii

Na baba alipokuwa anatanua na vidigidigi alikuwa anatenda mema? Actually aliyekuwa anamuibia mzee ni hivyo vibinti vyake.
 
Back
Top Bottom