Can this be possible,using our own payment systems to buy apps, music, games etc.?

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
990
800
Imagine going to the Android store, iTunes store, eBay and purchasing what your heart desires and making payments with M-pesa, Tigo Pesa,Airtel money.
can this wish of mine become a reality some day?

Au Is there a law restricting them from participating in international transactions.
 
Its possible ni wao tu kuamua kuweka hyo huduma lakini tatizo watatoaje. May be wamue kuingia ubia na mpesa au tigo pesa kila mwisho wa wiki wawe wana transfer helazao kwenye account zao.
Mfano moneygram wanatumia mpesa.
 
ujue mi niliona bodi ya mikopo wakati wa kujaza fomu unanunua vocha na mpesa.

Ukifanya transaction na mpesa kuna namba unapewa then kwenye malipo yako wewe generate system ambayo itakua inakubali ile namba ya mpesa kama activation then utaweza fanikisha
 
Yes kitu kama icho voda /tigo / airtel wanakata service charge yao eg.1500/2000(subject to price) wanakata hiyo plus ela ya bidhaa. mwisho ela inaamishwa kwenye account za wahusika...maana naona Kuwa hizi services zime evolve kufikia level za bank.
 
ujue mi niliona bodi ya mikopo wakati wa kujaza fomu unanunua vocha na mpesa.

Ukifanya transaction na mpesa kuna namba unapewa then kwenye malipo yako wewe generate system ambayo itakua inakubali ile namba ya mpesa kama activation then utaweza fanikisha

hata mimi naikumbuka mwaka jana tulivyokuwa tunapply heslb lakini hii service ningependa iwe intergrated kimtindo kama ukiwa unalog inajua wewe no fulani n a inakubill directly, unaingiza tu namba ya siri
 
Back
Top Bottom