Can Men and Women Be Friends? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Can Men and Women Be Friends?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mambo Jambo, Sep 19, 2008.

 1. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Can men and women be "just friends," or is sexual attraction between the sexes always inevitable? According to Rabbi Shmuley, men and women can be friends with members of the opposite sex, as long as they follow certain rules. He talks about platonic friendship between the sexes and shares his ground rules for opposite-sex friendships outside of marriage.

  If a person isn't married, Rabbi Shmuley says it's perfectly all right to have friends who are members of the opposite sex. Society has moved away from polarizing the sexes, and today, men and women work together, go to school together and should be able to be friends, he says.

  Things are different if you are married, Rabbi Shmuley says. It is possible to have an opposite sex friendship, but you cannot compromise certain borders:

  1) You can't go out to late night dinners together. You can have lunch together in a public place, but you should not order alcoholic beverages. "The embers of attraction really can grow in situations like that, and suddenly it's not so innocent, it's not just friendship anymore," Rabbi Shmuley says.

  2) You can't take long drives or long flights with the other person, even if it's for work. "Even if you have to work with a colleague [of the opposite sex], there are still certain boundaries you need to preserve," he says.

  3) You cannot place yourself in any situation where romance can grow. "Romance grows when people are alone; romance grows when people tell secrets," Rabbi Shmuley says.

  4) You can't share secrets with a platonic male or female friend that you don't share with your spouse. "Because then you're sharing an exclusivity with a member of the opposite sex that you're not with your partner, and that can lead to a big no-no," he says.

  5) You should not be friends with ex-lovers.

  Nawakilisha.
   
 2. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145

  Hujaeleweka mkuu..
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...can you tolerate mkeo/mumeo akiwa na rafiki kiume/kike (opposite sex?!!!)
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kwa nature ya binadamu ni vigumu sana kuwa marafiki kwa jinsia tofauti, yaani mwisho wa yote itakuwa ni ngono tu
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ..kwa maana hiyo zile za; tulisoma naye, au tulifanya nae kazi, au tulikuwa majirani nk zote hazihalalishi urafiki? duh!!!

  mimi ninao wawili watatu wa namna hiyo, tena najisifu marafiki zangu wa kufa na kuzikana (japo mamsapu ana mind) :(

  ...au kwakuwa interpretation ya wanawake ni kwamba,

  mwanaume + rafiki wa kike = ngono

  mwanamke + rafiki wa kiume = mwenzangu (wa...)
   
 6. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Inawezekana kabisa kuwa na urafiki kati ya mwanaume na mwanamke bila kuwepo ngono.
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nina rafiki wa kike tunafanya nae kazi watu wengi hawaamini kuwa sisi sio wapenzi,ni rafiki wa kawaida tunashauriana,taniana,kula pamoja na hata kuna mara 1 tulisafiri pamoja tukakosa nafasi na kupata chumba kimoja chenye vitanda 2 tukalala pamoja,kila kitu ni akili yako tuu.
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...bora useme wewe kiazi, nikisema mimi muhogo naambiwa mchungu!
   
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kiazi? sijaelewa hapo
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Siku moja nilikuwa bar nikakutana na dada mmoja, baada ya maongezi ya muda mfupi akanieleza kuwa ana mchumba na baadae atakwenda Night club na rafiki wake wa kiume. Nilipomuuliza zaidi kuhusu kwenda Night club na rafiki wa kiume huku akiwa na cider kibao kichwani ataeleweka vipi na mchumba wake?

  Akanijibu kuwa hana wasiwasi na rafiki yake huyo, kwani ni kakapoa... Na hata mchumba wake anajua hilo.
   
 11. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  hapa kuna mawili,urafiki huu ni possible,endapo mwanamke ni stable,otherwise any proper man atabid time yake akitafuta upenyo-anaweza asimpe mwanamke hint yoyote but deep inside,he is praying for the opportunity to present itself.Again unless mwanadada anatisha and the man is not intrested hapa wataelewana as friends.na urafiki ni possible kama mwanaume for some reasons is never intrested in members of the opposite sex
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  hii kitu kwa mwanaume inakuwa ngumu haswa mwanamke akiwa mzuri, yaani huwezi kuvumilia wewe unacheka naye halafu wajingawajinga wanamega, wengine tulikwisha jaribu tulipoona majina ya mshika pembe, kibuzi madesa yanaanza tukamega faster na urafiki ukafilia mbali.bora urafiki ufe lakini uitunze hadhi yako ya kiume aaaaggghhhhrrrrrrrrr
   
 13. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Hapa umesema kweli aisee! Urafiki wenye malengo au siyo:D?
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
   
 15. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duuh-I had a bad experience.Nilimsaidia mke wa rafiki yangu kusudi warudiane na nilikuwa nikimuita dada na yeye akiniita kaka,kumbe loooh,akafikiri ushauri ninaotoa mimi ndio nilivyo,kosa ilikuwa kutamka kuwa "I will make sure you are happy" sikujua what happened tuna baby boy!
   
 16. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kiswahili bwana".... mshika pembe, kibuzi madesa" Burn naomba ufafanuzi ikiwezekana.
  KT
   
 17. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Good gracious!
  Na urafiki bado upo kati yako na mumewe? u made the wife happy ehh?
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...kwani wewe ukoje mkuu?

  ...'ancient' tactics of shifting the blame, huh?! :)
   
 19. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
   
 20. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Duh! Sasa huyo baby boy ni wa kwako kabisa, au huyo mwanamke alirudiana na mumewe halafu amembambikia huyo mtoto kisha ikawa siri yenu?
   
Loading...