MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,520
- 39,101
Mungu anafanya kazi zake in a mysterious way, wanaume wote wa mikoani wangempokea mtoto na kuzaa watoto wengine wa aina hiyo wengi tu, ila huku mjini dah, tungemuacha apambane na hali yake.
Yaaa kabisaKm ni mutation inaweza ikawa ilitokea kwa yeyote kati ya baba au mama
Sent using Jamii Forums mobile app