Can best friends be lovers?

Mara nyingi huwa tunachanganya baina ya urafiki, mapenzi na matamanio.
1. Urafiki wa kweli ni jambo takatifu na linapaswa kulindwa kama lilivyo.
2. Ikiwa kuna mapenzi, subirini hiyo itakuja wenyewe, mtashangaa yalianzaje.
3. Katika aina nyengine ya urafiki, ule ambao haujafikii hatua ya urafiki wa kweli, ikiwa mtakubaliana, mnaweza ku-do bila ya masharti wala ahadi, ingawaje hii ngumu kidogo kwani uzoefu unaonesha mmoja anaweza kudai zaidi ya makubaliano ya awali.

Hapo kwenye no. 3 umenikosha sana. Kibongobongo ukisha-do na mtu utashangaa love you zinaanza kwa wingi hence mapenzi yenyewe..
 
hw can we be lovers if we ar nt frnd??? Ur lover is suppose to be ur best frnd...if u happen to meet a very boring couple, no story, no jokes, no interesting stuff btn 'em its bse they ar merely sex partners n nt frnds...
 
Ni rahisi urafiki kuelekea kwenye mapenzi kuliko mapenzi kurudi kwenye urafiki ila binafsi nisingeruhusu hiyo itokee.
 
Usijaribu utapoteza rafiki yako wa maana, sababu yakiingia mapenzi mtakuwa hamshei story nyingine na jokes zitapungua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom