Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,175
- 43,930
Development is a result of ingenuity. You either have it or you don't. If you don't you can't import it from elsewhere. If you think you can import it, you are deluding yourself and you will end up with 'imitation' development and not real development.
Kuna siku nilikenda Krogers..kwenye Deli lao...nikaona wanauza crab salad kwa bei poa sana. Nikasema woooow! Crab salad for less than 3 bucks...this is a good deal. Nikakigeuza hicho ki container kusoma Nutrition Facts na ingredients....kwenye ingredients nikaona 'imitation crab meat'...so I was like what eff is imitation crab meat....nikakirudisha ki container nikaondoka zangu kwenda Quiznos...
Je maendeleo ni maendeleo kama yanategemea kuendelea kwa watu wengine!?
Hapana! Huko ni kuwa tegemezi na mtu tegemezi kamwe hataweza kufika popote kama yule anayemtegemea atamtosa.
Maendeleo yanaanzia na kuwa na misingi ya maendeleo i.e. elimu, afya, amani, viwanda, n.k.
sasa ni kwa kiasi gani katika mambo hayo Tanzania inajitegemea na hivyo kuweka msingi wa maendeleo?
Ni kwa kiasi kidogo sana! Wewe fikiria hata bajeti yetu yenyewe ni tegemezi...tunategemea hela za wahisani katika sekta nyingi sana. Hatuna misingi imara ya maendeleo...
Unajua kunakitu ambacho watu wanasahau! Maendeleo sio ya vitu tu! ila unaposhiriki katika uzalishaji, na kulinda mazingira yako ya uzalishaji, si kwamba unapata uwezo wa kuzalisha tu, ila hata akili yako inapata utambuzi, na nafsi inajiamini - na hapo ndio vichocheo vya maendeleo vinavyokua.
Maendeleo yanaatungwa ndani [kama mimba vile] na rutuba ndio yatoka nje [kama mbolea vile]
Development can never be bought or imported! Of course different skills can be learned from different interactions, and indeed certain knowledge can be imported, however, they must be supported by local resources - human labour, natural resources, and human welfare.
Now, if we ask ourself what is development? There is no universal answer to search question, especially for those who are faced with denial of realities. So, to cover their souls they might divide development into parts - economic growth, freedom, technology, human capital - and run away to draw logic of how these different parties affect one another.
Nyerere at least tried! His conception of development was people centered approach, looking into basic needs to assure human development to achieve economic development. He believed development is organic rather than mechanical, how much of his belief was in his actual policies that is a total different question.
The current development thinking is patched development, where some where in 1990's our leaders thought you could separate between human capital, tools of development and economic growth and adopt nations of freedom of individuals and free market without responsibility. Those concept are important in creating conducive environment for development, but they can never bring development if the receiver have not strategies how the freedom is going to contribute to development. In result, the nation became a receiver of other forms of development, of which they don't have control with.
What is development?