Kijana huyu namfahamu. Anaweza kuwasaidia CDM kama watakubali kuachana na viongozi wa mazoea. Tunataka damu mpya. Elimu? Pamoja na umri mdogo tayari ana LL.M na amekuwa msaada (kisheria) kwa watu wengi na chama pia. Ukweli ni very intelligent na mahiri wa kuchambua mambo ukilinganisha na umri wake. Majina mapya haya katika CDM ndiyo uwe mwelekeo ambao pia utakipa sura mpya chama chetu. Ni jasiri, jasiri wa kweli. Bila shaka kwa kutangaza hivi, yupo tayari kuacha kazi yake katika kampuni ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza. Watu wa aina hii wapo lakini wamebaki ama wanazaliwa wachache sana. Anakifaa chama hasa vijana wa CDM.mhuuu....unasoma kidato cha ngapi?
Du! mawazo gani haya? Ni chakavu haswa. Achaguliwe mtu kwa kufuata mikoa, ujinga gani huu. Kama wewe ni kijana mawazo yako ni ya ki kale sana. Uongozi kwa mikoa, tusirudie kosa hili kamwe.Wewe hauwezi kushinda nafasi hiyo,tunataka kama heche au zaidi ya heche,sifa hizo hauna,nawashauri m/kiti atoke arusha,kilimanjaro,mbeya au mara.
Kijana huyu namfahamu. Anaweza kuwasaidia CDM kama watakubali kuachana na viongozi wa mazoea. Tunataka damu mpya. Elimu? Pamoja na umri mdogo tayari ana LL.M na amekuwa msaada (kisheria) kwa watu wengi na chama pia. Ukweli ni very intelligent na mahiri wa kuchambua mambo ukilinganisha na umri wake. Majina mapya haya katika CDM ndiyo uwe mwelekeo ambao pia utakipa sura mpya chama chetu. Ni jasiri, jasiri wa kweli. Bila shaka kwa kutangaza hivi, yupo tayari kuacha kazi yake katika kampuni ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza. Watu wa aina hii wapo lakini wamebaki ama wanazaliwa wachache sana. Anakifaa chama hasa vijana wa CDM.
I think what separatesHIM from the candidates is the fact that HE has a proven track record of being a fighter. A fighting for what people believe in, whether it is popular or not. Despite the opposition, HE stands true. Because people know that HE will do what HE says. And that HE says what HE does.Ingawa mie ni CHADEMA damu damu, Upuuzi kama huu pelekeni Facebook
sasa sifa zake zote zingewekwa kwenye bandiko. kuzipata huku chini ndo nini? cv inamuuza mtu kuliko mwonekano.
lkn kufanya kazi ccm inaweza kuwa hoja kuwa katumwa
do you mind educational level? He has masters of law...currently ni mwenyekiti wa kamati ya sheria ya chadema kanda ya ziwa magharibimhuuu....unasoma kidato cha ngapi?
Chadema hatuchagui kiongozi kwa kuangalia anatoka wapi! tunaangalia sifa na uwezo binafsi wa mtu!