Maswali ya msingi ya kujiuliza ...
1. Utawajuaje?
2. Wapi huchukua hayo mafunzo?
Nikipata majibu ya hayo maswali nitaongeza mengine ..
Nimeuliza maswali haya kwa sababu zifuatazo ...
Ninapoishi kuna ofisa mmoja .. nilimpa habari za uhakika .. akabeza na kuniuliza kuwa nimepataje taaarifa muhimu kama hizo kabla yake .. nilimjibu apige simu kwa yeyote aliyeko kwenye kituo chake cha kazi ili apate uhakika. Kabla hajapiga nilimeongezea habari kuwamuda mfupi gari litapitisha wahusika wakipelekwa panapohusika.
Alipopiga simu aliambiwa kuwa habari ni za kweli ...
Mpaka leo huwa hataki tukae sehemu moja, nikiingia sehemu alipo lazima yeye atoke. Akinikuta sehemu atasalimia na kuondoka tu.
Hisia zangu zinanituma kuwa nahisi mimi ni aina ya hao watu wakati mimi siko kabisa kwenye kazi za ajabu-ajabu kama hizo.
Macho na masikio kwako wewe ulosoma hii chango yangu.
Kwasasa sijui wanapatikanaje kwakuwa tumefanya siasa ndio kila kitu katika maisha yetu ya sasa... Ila enzi za mchonga hawa watu walichujwa tangu wakiwa shule ya msingi.... Kumbuka hakunaga interview kwenye hizi postHaya yanajulikana toka enzi za mwalimu
Mkuu naomba unipe tips kwa uchache Japo A.B.C....za kuwatambua hawa watu nina ndugu yangu mnoko mnoko kweli simuelewagi kabisa...yeye anashinda kwenye betting na casino tu.Huwa wanajulikana kwa tabia zao ukichukua muda kuwafuatilia....
Jr[emoji769]
Hapo umenena ...Kwasasa sijui wanapatikanaje kwakuwa tumefanya siasa ndio kila kitu katika maisha yetu ya sasa... Ila enzi za mchonga hawa watu walichujwa tangu wakiwa shule ya msingi.... Kumbuka hakunaga interview kwenye hizi post
Wanaochaguliwa hupitia mchakato mrefu wa msasa na kutengenezwa lakini pia huwa lazima wawe na kitu cha ziada kuliko wengine kama
.Ukimya
. Uchangamfu
. IQ kubwa
. Uvumilivu
Nknk
Hawa huwa hajitangazi wala kutangazwa, j apo kuna ambao huwekwa kujitangaza kwa nia maaalum
Jr[emoji769]
Shukrani sana tabibu wa kienyeji. Tabia zao ni kama zipi?Huwa wanajulikana kwa tabia zao ukichukua muda kuwafuatilia....
Jr[emoji769]
Wewe ulijuaje hizo taarifa?Maswali ya msingi ya kujiuliza ...
1. Utawajuaje?
2. Wapi huchukua hayo mafunzo?
Nikipata majibu ya hayo maswali nitaongeza mengine ..
Nimeuliza maswali haya kwa sababu zifuatazo ...
Ninapoishi kuna ofisa mmoja .. nilimpa habari za uhakika .. akabeza na kuniuliza kuwa nimepataje taaarifa muhimu kama hizo kabla yake .. nilimjibu apige simu kwa yeyote aliyeko kwenye kituo chake cha kazi ili apate uhakika. Kabla hajapiga nilimeongezea habari kuwamuda mfupi gari litapitisha wahusika wakipelekwa panapohusika.
Alipopiga simu aliambiwa kuwa habari ni za kweli ...
Mpaka leo huwa hataki tukae sehemu moja, nikiingia sehemu alipo lazima yeye atoke. Akinikuta sehemu atasalimia na kuondoka tu.
Hisia zangu zinanituma kuwa nahisi mimi ni aina ya hao watu wakati mimi siko kabisa kwenye kazi za ajabu-ajabu kama hizo.
Macho na masikio kwako wewe ulosoma hii chango yangu.
Ni ngumu sanaMkuu naomba unipe tips kwa uchache Japo A.B.C....za kuwatambua hawa watu nina ndugu yangu mnoko mnoko kweli simuelewagi kabisa...yeye anashinda kwenye betting na casino tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Classmate wako au ni wewe mwenyewe kwa ID nyingineClassmate wangu Infantry Soldier njoo huku
Usijile kuchat na huyo anayejifanya binti hilo ni dume linalojiita infantry soldierI don't know why but am easy to spot these fellas
Jr[emoji769]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124]Usijile kuchat na huyo anayejifanya binti hilo ni dume linalojiita infantry soldier
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Umenisema mie yaani na huu mdomo wangu siku izi nimeamua kuwa mpole...
nimeshaisaidia polisi bila kupenda mpk ikafikia hatua akiletwa afisa usalama mpya natambulishwa huyu atakusaidia sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Uzi wa wakali wa fani huu ,ngoja tubaki kusoma maoni ya wadau
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Wale waliomdungua Mh. Lisu na waliomkwida Mh. Nape watakuwa kundi lipi kati ya Amateurs & professionals.?!Kama ni wanaridhaa(amateurs) wataacha alama ila kama ni wajuzi (professionals) kutrace alama zao ni kazi moja kubwa sana
Jr[emoji769]