Camouflagers na informers


Naona kijiwe kimechangamka embu niongezeeni kashata
 
Wengine washagraduate chuo, lakini utawakuta wamejiinroll kwenye chuo kingine kama first year!, Na uongozi wa wanafunzi wanagombea na wanakuwa msitari wa mbele kwenye mambo ya migomo wako front lakini wanafukuzwa wengine, wao wanasurvive
Watakuwa wapumbavu tu

Yaani nahamasisha mgomo ili nifukuzishe watu

Badala ya kuwa spot wanaoanzisha mgomo wewe ukiwa pembeni
 
Watakuwa wapumbavu tu

Yaani nahamasisha mgomo ili nifukuzishe watu

Badala ya kuwa spot wanaoanzisha mgomo wewe ukiwa pembeni
Inatakiwa uwe ndani kabisa sio pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…