Mie niliwahi kukutana na kamoja kanauza bar moja maarufu mkoa flani hivi bar hiyo ni kubwa na ina wahudumu wengi walembo nikiwa safarini nikamzoea bila kujua halafu nilikuwaga na mishe flani za kibiashara enzi hizo sasa nikawa naenda hapo bar mapema kabla ya mida ya wateja wengi nafika naagiza vinywaji nakunywa halafu niko busy na simu yangu muda wote na wateja wakishakuwa wengi nasepa.
Sasa nahisi aliona utulivu wangu akahisi nina biashara flani haramu au vipi maana siku ya nne tu alianza kunizoea akawa ananihudumia yeye na kilichofanya nimstukie ni miwani yake anayovaa muda wote ni "spy glasses" nikaanza kuhisi huyu ni nyoka alipoanza mazoea nikawa nampa ofer ya kinywaji halafu akiwa karibu yangu najifanya naongea na simu mara kwa mara tena kwa mafumbo hapo ndo nilifanikiwa kumvuta akajilengesha tukapanga nikamle siku moja baada ya muda wa kazi saa sita usiku akanipigia anakuja nilipomuelekeza akaja room nikamla kiroho safi bila yeye kujua kuwa nimeshamstukia usiku akawa anaingiza story za kunichimba kuwa nadeal na biashara gani nikamwambia mie huwa ni mganga wa kienyeji nina wateja wengi na hapo mkoani nilikuja kufanya zindiko kwa mfanyabiashara mmoja maarufu tuliongea mengi ila usiku nilipiga show ya kihuni(natumiaga vumbi la kongo)
Alipochoka sana alisinzia nikasachi mkoba nakutana na vifaa vya kurecord sauti pamoja na hiyo miwani yake ya spy kwa kuwa naijua vizuri nilifanikiwa kuchomoa memory card nikaificha asubuhi hajui kinachoendelea nikala mzigo tukaagana nikamuahidi kurudi pale bar jioni tena kumbe ndo safari nikarudi zangu Dom na line ya simu nikabadiri.
Yule jamaaNamba ya nani mkuu?
Anafurahisha genge huyu[emoji23][emoji23] alichokutana nacho hakiamini kabisa
WatampotezaUlifanya blunder ni utoto! Next time ukaona kitu kama hicho, kaa kimya!
ShikamoooHahaaa wewe ndugu yangu usiogope Nimekupata sana k
Kivipi?Watampoteza
Wanaanziaga mbali hawa waduduKunaa jamaa angu kipindi Cha shule secondary alikuwa infomer wa headmaster,afuu mchizi msela Sanaa na wakujichanganya kinoma,tukipiga tukio na yeye yumo Ila tunashangaa information zinafika kwa mkuu vile vile tulivyo panga au kuongea,tukawa tunaisi labda headmaster machawii....siku mojaa alikuwa anatoa information kumbe Kuna ndugu alimsikia akaja kututonya
Huyo ndio infoma sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kunaa jamaa angu kipindi Cha shule secondary alikuwa infomer wa headmaster,afuu mchizi msela Sanaa na wakujichanganya kinoma,tukipiga tukio na yeye yumo Ila tunashangaa information zinafika kwa mkuu vile vile tulivyo panga au kuongea,tukawa tunaisi labda headmaster machawii....siku mojaa alikuwa anatoa information kumbe Kuna ndugu alimsikia akaja kututonya
Hahaaaa fuata protocolNipunguzie majukum yako mzeee hahahahaha
Asante sana mkuuShikamooo
Bro punguza tango pori jamaniMie niliwahi kukutana na kamoja kanauza bar moja maarufu mkoa flani hivi bar hiyo ni kubwa na ina wahudumu wengi walembo nikiwa safarini nikamzoea bila kujua halafu nilikuwaga na mishe flani za kibiashara enzi hizo sasa nikawa naenda hapo bar mapema kabla ya mida ya wateja wengi nafika naagiza vinywaji nakunywa halafu niko busy na simu yangu muda wote na wateja wakishakuwa wengi nasepa.
Sasa nahisi aliona utulivu wangu akahisi nina biashara flani haramu au vipi maana siku ya nne tu alianza kunizoea akawa ananihudumia yeye na kilichofanya nimstukie ni miwani yake anayovaa muda wote ni "spy glasses" nikaanza kuhisi huyu ni nyoka alipoanza mazoea nikawa nampa ofer ya kinywaji halafu akiwa karibu yangu najifanya naongea na simu mara kwa mara tena kwa mafumbo hapo ndo nilifanikiwa kumvuta akajilengesha tukapanga nikamle siku moja baada ya muda wa kazi saa sita usiku akanipigia anakuja nilipomuelekeza akaja room nikamla kiroho safi bila yeye kujua kuwa nimeshamstukia usiku akawa anaingiza story za kunichimba kuwa nadeal na biashara gani nikamwambia mie huwa ni mganga wa kienyeji nina wateja wengi na hapo mkoani nilikuja kufanya zindiko kwa mfanyabiashara mmoja maarufu tuliongea mengi ila usiku nilipiga show ya kihuni(natumiaga vumbi la kongo)
Alipochoka sana alisinzia nikasachi mkoba nakutana na vifaa vya kurecord sauti pamoja na hiyo miwani yake ya spy kwa kuwa naijua vizuri nilifanikiwa kuchomoa memory card nikaificha asubuhi hajui kinachoendelea nikala mzigo tukaagana nikamuahidi kurudi pale bar jioni tena kumbe ndo safari nikarudi zangu Dom na line ya simu nikabadiri.
[emoji818][emoji1545][emoji1545]Hii ni elimu kubwa sanA brother mshana
Kwahiyo huyo bodaboda ni KAMOFLAGA?
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Kwahiyo huyo bodaboda ni KAMOFLAGA?