Camon c9 root

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau nina cm aina tajwa hapo juu napenda kuifanyia rooting nimejaribu kingroot imegoma je zaidi ya hapo nitumie app gani nzuri? Karibuni wataalamu.
 
Kwa tecno tumia pc kuroot Simu yako Kwa njia ya apps hiyo Simu utaikosa
 
Tumia kingo root ila hii ni utaitumia kwa kupitia pc, so download software install kwenye pc na maliza ishu yako fasta sana kuliko unavyotarajia.
 
Kwenye pc unafanyaje sasa hebu toa maelekezo ya kutosha rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…