Camon C8 inasoma E

Halotel wanakifurushi cha usiku kinaitwa usiku pack. 1.2Gb kwa 500 na 18Gb kwa 1500 saa tano hadi 12 asubuhi.
Kuna muda wana bana kuna muda wanaachia.
 
Kama kuna mtu ana simu tajwa aniuzie. Iwe kwenye hali nzuri kwani namnunulia mtu zawadi. Bei niliyojipanga nayo ni LAKI NA NUSU (150,000/=) TU...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…