JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,343
- 5,569
Hesabu yako umepigaje?Mabasi 89 kivipi.
89/4 ni kama basi 4 kwa kila nchi
No Tanzania itafuatiwa maana wezi wetu walibanwa for almost 6 years, yaani wana njaa ile balaa. Wewe cheki tu sasa hivi wanataka kurudisha kila walichopoteza na wapate tena mara dufu.Wafanye mashindano ya wizi Afrika
Naona Nigeria na Cameroon wataongoza wakifuatiwa na Kenya
Sisi tushinda kwa kuwaibia waizi kombe
Sorry ,nimeshaeditHesabu yako umepigaje?
No Tanzania itafuatiwa maana wezi wetu walibanwa for almost 6 years, yaani wana njaa ile balaa. Wewe cheki tu sasa hivi wanataka kurudisha kila walichopoteza na wapate tena mara dufu.
Yaani sasa hivi ukipata nafasi iba tena iba sana na hakikisha unagawana na wakubwa kama enzi za Dkt JK, unaiba unamgawia mpaka ma Askofu hahahahahah, enzi hizi raha sanaHalafu Hakuna wa kufungwa yaani ukiwa kwenye position ya kupewa hela ili usimamie mradi we kula tu
Kila hela wanazo allocate kwenye mradi wowote sasa unapigwa tu na hakuna wa kuzuia
Yaani nchi utafikiri iko kwenye vita tu kila unachoona iba tu
Nawahurumia sana
Kuchimba bwawa 600m halafu anakabidhi dimbwi hata ukimdumbukiza mtoto mchanga hafi
Fursa hizo mtaona train isipopita tu wanaiba mataruma
Yaani mgawane kila kitu
Ndo maisha hakuna atakae kujali kesho kama hauna kituYaani sasa hivi ukipata nafasi iba tena iba sana na hakikisha unagawana na wakubwa kama enzi za Dkt JK, unaiba unamgawia mpaka ma Askofu hahahahahah, enzi hizi raha sana
Watakucheka mno, si unaona wapenda haki wanavyo simangwa. Kikubwa mtindo wa sasa ni hela mkononi, iba iba iba iba iba ukipata nafasi, hakuna atakaye kuonea huruma usipoiba na hakuna atakayekupongeza kwa kuwa muadilifu, badala yake ukitoka tu watasema mnoko kaondoka watafanya sherehe na ikiwezekana watakuua kama Dkt Magufuli halafu waanze kushangilia kama ZittoNdo maisha hakuna atakae kujali kesho kama hauna kitu
Yaani sasa hivi ukipata nafasi iba tena iba sana na hakikisha unagawana na wakubwa kama enzi za Dkt JK, unaiba unamgawia mpaka ma Askofu hahahahahah, enzi hizi raha sana
Hata ukipata kifaru cha jeshi ukikuta kimejisahau ibaaaaKuiba rukhsa sasa
Magu alisema ya kubrashi huyu nae anasema mle kidogo
Sasa unamuonjesha mtu asali kwa kidole
Yaani hata ukipata mzinga iba tu