Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,487
sor hivi hizo huawei p6 zishaingia bongo? #tigo kama kawaida au bado hazijafika?
mkuu sina hakika kama bongo zimeingia, ila nimeona ni moja ya simu nzuri sana, na huwei wamejitahidi sana, ukiangalia bei pia siyo mbaya sana. na wana nyingine inaitwa ascend Mate nayo inafanya vizuri kwenye properties zake. Ingawa mkuu chief-mkwawa anaweza leta maelezo ya kitaalam juu ya os zake.
SP
halafu utakuta quality mbovuuu, ujue watu washakremu namba zikiwa kubwa basi kitu ni kikali.Dah Hii Huawei Imenifurahsha Kitu Ki 1 Tuuuuu!! secondary Cam 5.0 Mp..... hv Kua Smu Yenye Secondary Cam Kama Hiii???