camera

camera

Acha Dhambi

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
147
Reaction score
46
camera yangu haitoi picha mzuri aina ni sony yenye pixel 10 sasa nataka kununua camera mpya nizingatie nini pia pixel mzuri ni ngapi?
 
ngoja wataalam waje.kwenye simu kuanzia mp13 hasa samsung ni nzuri sana.upande wa digital camera sina utaalam
 
kaka mega pixel zinamaanisha ukubwa wa picha kama hupigi picha za matangazo ya barabarani basi camera yoyote kuanzia megapixel 2 inakutosha. unapotaka kuangalia camera bora unatakiwa uaangalie hivi.

1.sensor
jinsi sensor inavyokuwa kubwa basi na camera inauwezekano kuwa nzuri zaidi, sensor kubwa zinaingiza mwanga zaidi na kutoa picha zenye reality zinapimwa hivi.
1/4
1/3
1/2
1/1.2
1/1.5

inaweza kuwa namba yoyote ila ikikaribia moja ndio inakuwa nzuri zaidi. sensor ya 1/4 ni ndogo kuliko 1/2.

2. lens
hapa utaangalia lens zinazofahamika mfano kama carl zeis na nyenginezo hivyo utaangalia lens na kuigoogle utaona watu walivyoreview na kuona ubora wake.

3.special tecnology
kuna trick nyingi wanatumia kwenye camera kuhakikisha quality ya picha ni nzuri kama
-autofocus, ois, oversampling na nyenginezo inabidi pia uangalie na hivi

4.software
sometime camera inaweza kuwa nzuri ila software yake ikawa mbaya kwenye kuitengeneza picha na hapa ndio camera za simu zinaposhine sababu zina software nyingi

yapo mambo mengi kaka ila hapo unaweza pata pa kuanzia
 
Mkuu Msaada jinsia ya kutambua ukubwa wa sensor.!!! :ranger:
 
sensor inakuwa kwenye specification za camera ambazo zinatolewa na manufacture mwenyewe, pia kwenye site kama gsmarena unaweza pata specs za camera ya simu na baadhi ya camera mfano hii ni specs ya sony xperia z1
7Ns8ye9.png

ukifungua page ya specs shuka chini kwenye camera utaona wameandika sensor. ikikaribia moja ndio nzuri zaidi
 
camera yangu haitoi picha mzuri aina ni sony yenye pixel 10 sasa nataka kununua camera mpya nizingatie nini pia pixel mzuri ni ngapi?

kwa ufupi SONY handheld cameras hazina ubora mzuri.

camera nzuri ndogo ni 1. Olympus 2. Samsung kwa camera hizo basi tafuta ya megapixel kuanzia 7MP ziko powa... Au ununue sony professional camera

camera ndogo za Sony na Canon ni uzushi, sana sana zitakupigia picha zenye MB kubwa (up to 4MB) na picha hazina mng'aro wakati kwa olympus picha yenye 1MB ni quality vibaya mno
 
Hiyo Sony ni camera aina gani na je ni Point&Shoot au ni Compact Camera au ni Dslr.Siri kubwa ya kujua kuitumia camera kwanza ni kusoma manual yake,pia unaweza kudownload utumiaji wake kwa njia ya video kwenye Youtube.Na mwisho je ni mara ya kwanza kutumia camera au ni mzoefu na unapopiga picha zako unapiga kwa kutumia mode gani?kama sio mzoefu ni bora ukatumia automatic mode badala ya manua mode kwanza,na pia ni picha gani unazopiga,ie landscape ,potrait,macro,wedding?na mwisho hebu weka model ya camera yako ndio tujue shida ni ipi ,8 MP sio model na camera kuanzia 8 MP zinatoa picha nzuri tu
 
mkuu huweziamini camera nilizotumia zilikuwa mpya na CD za usermanual za video. Yaani hadi nikauza camera na kuanza kutafuta kamera ndogo zenye ubora tofauti na sony. Nilimuuliza mwalimu wa photograph na video shooting wa chuo fulani cha journalism akanijibu kwamba suluhisho ni kuwa na profesional camera. Camera model ilikuwa ni dsc s780 8mp nadhani na dsc s 930 10.1mp.

Kiukweli mode iliyokuwa inatoa picha atleast ilikuwa ni PROGRAM AUTO ISO 800. Lakini mode zingine ni ovyo.

Kuna siku nilikuwa nafanya comparison na olympus ya 4mp na samsung ya 7mp. Kiukweli zinatoa picha nzuri na halisi kulinganisha na ile sony yangu ya 10.1mp.
 
Back
Top Bottom