camera za siri

Ukifanikiwa tafadhali tuletee nakala ya video
 
ukifika uk msalimie arsene wenger mpe pole kwa matatizo ya talaka yanayo mkabili kwa sasa!
 
mm pia. mm niko chelsea so ntamletea mjanja wake mourinyo wazinguane kidogo
 
yap siitak kabisa , nia yangu nimshock huyu kinyago
 

Kwa iyo unataka kutega katika kila gesti housi? Au Kwenye barabara kuu.
 
kumla mke kisamvu naona shida sana. hebu fikiri akienda kuzaa cntatukanwa mm na manes na mm najulikana vibaya mno. so nataka nimteme moja kwa moja kwa kumkamata kabisa ili imuume

Cyber crime, huruhusiwa kujihusisha na privancy ya mtu.
 
Kisamvu kinatumika ugenini kazi kweli kweli
 
Mbuzi na kuku...usikute hizo kamera walishakufungia we hujijui..manzi yenyewe janja,inaku-do
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…