Hakuna ndoa hapo...!
yap siitak kabisa , nia yangu nimshock huyu kinyago
Ana hasara kubwa kuolewa na mume wa dizaini yako (Kama kweli umeoa, you sound childish and may be co-habiting)
Kama ameshakuwa kinyago si umrudishe kwao? Kamera za nini na upuuzi unaojaza hapa?