Camera yangu mtaani:.Warembo hawa mchina ua?

Ukija kwetu mbona ni wengi tu kama (na kuzidi) huyo anayesikiliza simu?
 
Mmh, Kamera yako kweli? mbona hizi ziko hapa siku nyingi
 
Hawa Wapo kwenye zoezi la kutangaza "Products" zao ukizingatia kwamba mafanikia ya mauzo ya bidhaa inateegemeana na jinsi ulivyowekeza kwenye matangazo kwa walaji
 
Jamani sasa huku ni kuingilia privacy ya mtu. Mbata zaidi mtu alitoroka kwao!!!!!!!!!
 
mchina amekuja juzijuzi tu lakini hizo sampuli tunazo siku nyingi
 
Unawafanyia promoshen nn?. Ha2kuelew.
 
<img src="http://redpepper.co.ug/welcome/wp-content/uploads/2011/08/Bambi-Fashions-PRO-the-Boob-licious-Tattu-Sophie-took-the-twins-on-her-chest-for-a-night-out.jpg" border="0" alt="" /><br />
<br />
Anavutia huyu kwa kweli....
<br />
<br />


Kwa kweli mtoto yuko Supa, kama ni mchina basi na aendelee aisee.....

.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…