camera ya simu na matatizo yaliyonikuta

camera ya simu na matatizo yaliyonikuta

david08606

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
47
Reaction score
4
Wadau naitaji msaada wenu nilikuwa nimeweka cmu yangu mfukoni na nikiwa bize na mishemishe ya hapa na pale ghafla nakuja kuitoa kujaribu kupiga picha. Naona camera haipo clear vision nachokiona ni mchanganyiko wa rangi tu na wala focus object haionekani kabisa bali nachokiona ni mirangirangi 2 mwenye kuelewa nini cha kufanya anisaidie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom