Camera setting....Nikon D5100.

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,655
Reaction score
2,002
Wajuzi wa mambo salaam.
Mimi ni mpigapicha mkongwe (nilikuwa nikitumia Camera kubwa aina ya Pentax - ya mikanda) ila ni mgeni katika kutumia DSLR. Nimenunua Nikon D5100 na naomba kujua setting nzuri kwa picha hasa za watu ili kuwatoa na rangi yenye mvuto kwenye ngozi.
Natanguliza shukurani.
 
weka auto mode chagua pixel kubwa pia cheza brightness
 
Naona kama umeirahisha mno Goodluck. So habari ya Hue, Contrast, saturation etc yote hayahusiki?
 
unauliza unachokijua mkuu .tumeane maujanja hayo
 
Hello,

Nenda YouTube kisha search: Nikon 5100 na details za lens yako kisha utaona mafunzo mengi tuu ya kutumia hiyo camera..
Ila kwanza nakushauri ujifunze kuhusu DSLR kamera kwa ili uweze kufahamu vitu vingi zaidi.
Kina vifaa vinaita "Light Meter" + "Telemeter" pitia hapa utajifunza zaidi..Photography Stack Exchange

kama sio mpenzi wa mapicha basi ridhika na functions ( Sport, Children, Cloudy, Shadow) zilizopo kwenye kamera tuu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…