Camera man

Ha!ha!ha! anaipenda kazi yake kwa kuakikisha mteja wake anaifurahiya uduma yake.
 
Hii ni Konika, Mega pixel 0.8.
Jamaa akipumua tu lens yote inajaa mvuke, sharti lazima uzuie pumzi kabla ya Kuphoto point.
 
Au alikua anajamba akawa anazuga pozi la kupata picha mnato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…