Calexit: California wants to Separate from the U.S

Calexit: California wants to Separate from the U.S

EU sio sawa na USA kwani moja ni Union of nations na nyingine ni Nation; UK katoka EU (Nation from Union); labda useme ile attempt ya Scotland kutoka UK ndio sawa na Calfornia kutoka USA.
 
Kila baada ya chaguzi mbali mbali za U.S.A hizi harakati uchwara huwa zinajitokeza, wanajifurahisha tu lakini wataendelea kuugulia sindano za D.J.T mpaka uchaguzi ujao
 
huyu mtoto amemaliza la saba E shule ya msingi makole mwaka huu.lazima awe mbishi mbishi mkuu.
 
Huo ni uchungu wa kipigo cha Jemadari D.J.Trump.
Secession in practically improbable and impossible. Fatilia historia ya Marekani hasa baada ya Civil war back in 1861 to 1865 between states. Baada ya hapo kuna solid foundation clauses in their Constitution.
Theoretical,yes but improbable
Exactly
 
Aisee afadhari umetusaidia sisi wengine hata hatukielewa kimeandikwa nini ndo tatizo ya kuwa na member division five hawajui hata kuandika lakini hawatak kubaki nyumba.

Tunashukuru kwa msaada wako ndugu yangu. Ila nasisitiza members wa JF wawe wanafanyiwa interview ya uelewa wao wa darasan na lugha pia. Bila kusahau umri

Xx=sasa
Wahandamane=waandamane
 
Huo ni uchungu wa kipigo cha Jemadari D.J.Trump.
Secession in practically improbable and impossible. Fatilia historia ya Marekani hasa baada ya Civil war back in 1861 to 1865 between states. Baada ya hapo kuna solid foundation clauses in their Constitution.
Theoretical,yes but improbable


Texas wameanza movement kama hiyo ya "Texit" zamani gani; hadi leo hii hawajawahi kuwa na impact yoyote ya maana!?
 
This is begin to falling of the UNITED STATES OF AMERICA na huenda ukawa ndio ule utabiri uliotabiriwa kwenye maandiko ufunuo wa Yohana.
Je trump ni kabila la Yuda... just guessing. ushoga pia ni pigo lingine after some years no family.
 
Mfumo wa uchaguzi wa Rais wa Marekani ni mfumo wa hovyo sana uliowahi kupata kutokea katika historia ya Demokrasia duniani..!
sasa kama wenyewe wanaridhika nao na ndio mfumo walioutumia miaka nenda miaka rudi weye ni nani kuukosoa..??!!
kwani obama aliposhinda urais mara mbili mbona wanachama na wapenzi wa republican hawakuingia mitaani kupinga.....?


Grow up buddy
 
Back
Top Bottom