Calexit: California wants to Separate from the U.S

Calexit: California wants to Separate from the U.S

This is not new,hata alipochaguliwa Obama kuna majimbo yalitaka kujitenga kwa kupinga Mmarekani mweusi kuwa rais
 
Kuna hadi militias wenye silaha wanaotaka kujitenga tangu miaka mingi tu
 
Hao watakuwa wahuni wa el chapo wakiandika ushuzi kutokea san juan,mexican border..
 
This is begin to falling of the UNITED STATES OF AMERICA na huenda ukawa ndio ule utabiri uliotabiriwa kwenye maandiko ufunuo wa Yohana.
Democratic wamezoea vitu vya bure republican well Maemo wa nyerere " asiyefanya kazi asile" you have to work hard in USA .Sasa kuna state ambazo zinaitwa sanctuary city .Hizi state huwa Zinapata pesa kutoka serikalini kuficha illegal immigrant sasa Trump alisema akichaguliwa mwisho wa pesa za bure .Mbaya zaidi Repiblican is in controll everywhere sasa hivi wameshindikana congress na White House .Watapitisha bills ZOTE wanazotaka.Obama care trump na republican wataifuta.
 
It will never happens under Obama administration....

Labda Trump akishaingia anaweza Fanya uo ujinga.......
It will never happens????!!!huu ni uhalifu aisee,si uandike kiswahili tu,unakuwa juma pumba!!!
 
Moroko si waarabi?
Dadeki hakuna kwenda marekani waache propaganda za kipuuzi
 
Baada ya matokeo kubainika na Donald Trump kutangazwa kuwa rais wa Marekani ,California ambalo ni jimbo lenye wafuasi wa chama cha Democrats cha Hillary Cliton kimeripotiwa kutaka kujiondoa kama mojawapo ya majimbo nchini Marekani.


Kupitia mitandao ya kijamii wakaazi wa jimbo la Carlifornia wameanzisha kampeni huku katika mtandao wa Twitter kampeni kwa kauli mbiu [HASHTAG]#CalExit[/HASHTAG] kuanzishwa .
Never happen, USA is strongest national in the world.
 
Kumbe kuna wazugu wana akili kama za vijana wa blue,nyekundu,nyeupe kwani trump kapindua nchi??? si amechaguliwa tena kwa kura sasa kwa nini wajione kura zao ni bora kuliko zilizomchagua trump??? mungu anawaumbua wazungu kuwa neno democrasia lipo midomoni kwao si miyoni kwao
 
Back
Top Bottom