Calexit: California wants to Separate from the U.S

Calexit: California wants to Separate from the U.S

Hao wanalalamika wakati wako kwenye nchi ya demokrasia,waje huku waone sisiemu wanavyosepaga na masanduku ya kura,pembeni akiwa ametulia jemedali wa mazingaombwe Jecha si wanaweza wakafa bila kuaga
 
Ugumu utatoka wapi wakati anadhibiti mabunge yote? Senate na congress? Wanao piga kelele kujitenga au ni wahamiaji haramu au wahalifu! Demokrasia imefuatwa ameshinda kwenye ballot box kelele za nini? Next chance is after four years?!
Mkuu hujajiuliza kwann ni California na siyo majimbo mengine

2019 jimbo la California watapiga kura aidha wajitoe au lah..2014 walifanya referendum lkn imesogezwa mpk 2019

2019 watapiga kura

Hili ni suala la muda na kuchaguliwa kwa Trump ndio kumechochea zaidi ..amini 2019 hawa watapiga kura ya kujiondoa
 
It does not make any difference
 
Kama ninaiona Marekani inagawanyika vile hahaha
Katika Historia ya Marekani watu wanaoongoza kwa kutawala kwa amani ni Democratic lakini Republican hawa tangu mwanzo wana historia ya vita
Kwa hiyo hata huyu jamaa Trump lazima itaiingiza Marekani kwenye vita
Ujanja wa Marekani hataki vita ipiganwe kwenye ardhi yake,
Yeye anachopenda ni nchi yako ndio iwe uwanja wa vita.

Najuu ya kugawanyika UNITED STATES najua itagawanyika tu
hata kama si leo, maana hizi chokochoko zimeanza zamani sana
Lakini naona zinafikia tamati lazima itagawanyika,
Na kama California itafanikiwa kujitoa mtashuhudia states nyingine zinajitoa.
 
Mkuu hujajiuliza kwann ni California na siyo majimbo mengine

2019 jimbo la California watapiga kura aidha wajitoe au lah..2014 walifanya referendum lkn imesogezwa mpk 2019

2019 watapiga kura

Hili ni suala la muda na kuchaguliwa kwa Trump ndio kumechochea zaidi ..amini 2019 hawa watapiga kura ya kujiondoa
Kwa hiyo walitaka Clinton apewe nchi kwa kuwa tu California walimpigia kura?
 
1. D. J. Trump amevuruga upepo na siasa za Marekani.
2. Ikiwa hata watoto wanapewa ushauri nasaha mashuleni ili waweze kukubaliana na maamuzi ya wengi. Watu wazima 'wanapayuka' mitaani ili kupunguza machungu. Ukiwaangalia kwenye TV wanatia huruma.
3. Hio kujiondoa ni ngumu sana kwa kuwa hata sisismizi atakuwa chini ya Republican. Ni sawa na Zanzibar itake kujiondoa ilihali ipo URT ipo chini ya CCM.
 
Je democracy ni pale Hillary anaposhinda? Au wengi wanapompigia Trump inabidi wachache walioshindwa wakubaliane na matokeo? Huo ni udikteta?
 
kumbe ata marekani kuna mataira xx kwann kuna kupiga kura, maana yake kwamba tunachagua mtu kwa matakwa ya walio wengi xx na hao walio chagua trump km hasingepita je ina maana wahandamane, mi naona km wamevurugwa tu na upepo wa trump
Wee ni muhangaza????
View attachment 431931

Following the announcement of Donald Trump as the new United States president, thousands on social media platforms have started calling for a “West Coast exit.”

Republican candidate Donald Trump won by 289 points to Democratic contestant Hillary Clinton who received 218 points.

The storm of tweets was triggered by a campaign called Yes California that aims at separating California and declare it an independent country in 2019.

Just like the UK exit from the European Union in June, the Yes California campaign posted a petition on its official website outlining reasons for separation.

“In our view, the U.S. represents so many things that conflict with Californian values,” the petition read. “Our continued statehood means California will continue subsidizing the other states to our own detriment, and to the detriment of our children.”

According to the campaign, California’s basic public services and infrastructure had been deteriorating at the cost of subsidizing other states. However, the separation is more than just that.

“We believe California exerts a positive influence on the rest of the world, and California could do more good as an independent country than it is able to do as a just a U.S. state.”

California, Nevada, Oregon, and Washington State, were among the states won by Clinton. Following the results, the campaign has gained more momentum with more people from the aforementioned states pushing for a similar exit to form an independent “West Coast Nation.”

Using the hashtag of WestCoastNation and Calexit thousands have objected the elections results. “We will build our own wall to keep you out. A new nation will rise,” said one user on twitter.

Source: Morocco News
 
Ni wapuuzi..Trump.kachaguliwa na watu kama wao na ki demokrasia!!kwenye uchaguzi lazima kutakua na mshindi na mshindwa! Wanalialia nn si waisome tu namba kwa miaka minne hiyo! wao wakitaka wahame nchi thas it
 
Kama wale wetu wa gia za angani siyo!
 
Back
Top Bottom