Niiweke wapi ndo itafit zaidi
hii nayo ni celebrity news?
Mwenyeji wake hapa new york ni celebrity
atakuwa nani sasa maana le mutuz alichoka kuendesha malori uko akajirudia bongo
Hehehe kwani blaza le kopoz alikuwa the only bongo selebriti hapa new york? Mie sijui bwana, im from the working class hata sura yangu nimeshaisahau