Cag report 2009/2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cag report 2009/2010

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Maimai, Apr 18, 2011.

 1. M

  Maimai Senior Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani mengi yamesemwa kuhusu ripoti ya CAG nikipiga hesabu za harakaharaka naona kiasi cha trillioni moja na ushee hivi zilikombwa na wajanja kwenye halmashauri, mawizara, idara na makampuni ya umma. Wizara ya fedha, mambo ya nje, magereza,ujenzi wamebunya kishenzi....poa tu si tukiona mtu kanunua hummer tunashangilia baada ya kuuliza kalipataje... Exclude faithful traders.
   
Loading...