iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,438
- 14,916
Hivi CAG hakupita wizara ya ujenzi? Au ule ujumbe wa "not to that extent" ulimpata sawia?Hivi hizi report za CAG akishazitoa baada ya hapo nini kinachofuata? Maanake madudu ni mengi sana...
Watu tunashurutishwa kulipa kodi kila siku, makadirio juu... Ukichelewa fine... Lakini inasikitisha sana pesa zinapokwenda hatumiwa kiujanja ujanja..
Kama mkopo umetolewa bila nyaraka na makubaliano maana yake hizo pesa nyingi zimeleliwa na wachache..
Inasikitisha sana..
Cc: mahondaw