Zigo la kuthibitisha kinyume cha taarifa hiyo ya Gazeti la Citizen (Siyo Mwananchi) unalo wewe!Lete kilichoandikwa na CAG achana na porojo za waandishi makanjanja
Hii inawezekana. Bahati mbaya sasa JPM either hakuambiwa hii kitu au amejitoa ufahamu. How come report ya forged certificates inachukua miaka miwili kukamilika after sending out verification teams more than three times?Kuna madai kwamba hata wafanyakazi hewa "waliwekwa" kukisaidia kifedha Chama fulani chenye watumishi weeeengi lakini hakiwezi kuwalipa,kwa hiyo ilikuwa weka hewa huku,chukua kalipe kule
Hill jiko la kuni bila kuchochea chakula hakiivi,kuni zisizowaka zina tabia ya kuumiza macho kwa moshi wake mkali
Hii inawezekana. Bahati mbaya sasa JPM either hakuambiwa hii kitu au amejitoa ufahamu. How come report ya forged certificates inachukua miaka miwili kukamilika after sending out verification teams more than three times?
Sijui "wataiba" wapi kwenye campaigns za 2020. Ila jamaa wale mafundi sana na watapata mbinu tu.
Tuna bunge ambalo ni kibogoyo kwa msingi ya Katiba ya nchi yetu. Hata kama wabunge wana nia ya kuibana Serikali Katiba inawawekea munda. Kwanza kipengere kinacholazimisha Mbunge kupoteza ubunge wake akitofautiana na chama chake Kifutwe, halafu tuone kama madudu haya yataendelea kujirudia!!
Sisi tunayaamini kwa kuwa yamenukuu chanzo-CAGLete kilichoandikwa na CAG achana na porojo za waandishi makanjanja
Kuna yule nilimsikia akiwashangaa wabunge wenzake kuihoji hoji serikali badala ya kuwaza biashara zao bungeniTatizo kubwa zaidi ni njaa...
Nchini kwetu wabunge wanaganga njaa..ni ajira
sio kama sehemu zingine..ubunge ni utumishi
Ukihoji haki yako kutekwa tu,hatutaki wanaohoji tunahitaji ma-yes man tu.
Tena linapokuja suala la wabunge kuganga njaa usifikiri na wa upinzani hawamo,na wenyewe wako mstari wa mbele kabisa kukinga bakuli wafadhiliwe na Serikali!!Tatizo kubwa zaidi ni njaa...
Nchini kwetu wabunge wanaganga njaa..ni ajira
sio kama sehemu zingine..ubunge ni utumishi
Na wew acha ujinga nunuwa gazeti somaLete kilichoandikwa na CAG achana na porojo za waandishi makanjanja
Hawezi kuja hukuLizaboni pita na huku
mkuu umeua haaYaani kweli unatoa bilioni 44 bila mkataba? Hata mwendokasi Tsh 650 wanatoaga tiketi!!
Kila mwaka wa uchaguzi huja na lake jambo,kipindi kile ulikuwa EPA
Mbaya zaidi sasa hela ziko benki kuu,sijui usalama wake ukoje,napendekeza mifuko ya pensheni iwe inatoa taarifa ya hali yake kifedha kwa wanachama,kila mwezi.
PSPF ni de facto bankrupt,chanzo ni serikali kuikopa usiku na mchana,inadaiwa kwamba PSPF huchelewesha malipo mpaka inabidi siku ya kulipa wamlipe mtumishi na mishahara ya kipindi walichomcheleweshea malipo
Hela za haya mashirika zisikae Benki kuu, hizo sio hela za serikali,ni hela za wachangiaji,zitolewe Mara moja kabla hazijaanza kudokolewa wakalipwa wajenzi wa reli
haaaa saiz wamejirekebisha kidogo.eti mapagalaMfuko wa Bima ya Afya wao wanaweza kukukata hata miaka kumi,hawahangaiki kujiuliza mteja wao fulani mbona hana kitambulisho/hatujawahi kumpa?
Nadhani hawana hata database ya watu waliowahi kuwa na vitambulisho wakawatambua,na baadae wakawajua watu ambao hawajawahi kuchukua kitambulisho ili watu wa customer care wawa trace,ofisi zao za mikoani nyingi ni kama mapagala tu,hovyohovyo,hazijitegemei kila kitu mpaka wakwambie wanawasiliana na makao makuu
Hahahaaaahaaaa saiz wamejirekebisha kidogo.eti mapagala