CAG Bukoba awataka madiwani kutomwingilia kazini

CAG Bukoba awataka madiwani kutomwingilia kazini

Nam...

Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
51
Reaction score
16
Ni baada ya kumaliza kikao chao cha utambulisho kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa, ambapo wakaguzi wamesema kuwa wanakagua halmashauri ya manispaa ya Bukoba kwa miaka miatatu kuanzaia 2010 hadi sasa.

Wamesema hawataki kuingiliwa kwenye kazi yao, isipokuwa wakiitaji ushirikiano kutoka kwa viongozi wasisite kuutoa, hiyo ndiyo habari ya sasa kutoka chanzo kimoja ktk ofisi ya mkuu wa mkoa.
 
Back
Top Bottom