CAG:- Benki ya Posta ilitumia Million 495 kuchapa nembo

Tender inakuwa awarded kwa the lowest evaluated tenderer, nikiwana maana kuwa na lowest tender sum sio kupewa tender bali your tender sum should be still evaluated.
Yawezekana ukipitia tender ya hao wenye gharama ndogo inaweza kuwa na makosa mengine ambayo yakafanya kuliose credibility ya kuwa awarded io contract mfano the price may not be realistic.

Sent from my iPhone using JamiiForums
msome CAG upya kakuambia kampuni ya awali ilikuwa na uzoefu wa kazi husika
 
Tender inakuwa awarded kwa the lowest evaluated tenderer, nikiwana maana kuwa na lowest tender sum sio kupewa tender bali your tender sum should be still evaluated.
Yawezekana ukipitia tender ya hao wenye gharama ndogo inaweza kuwa na makosa mengine ambayo yakafanya kuliose credibility ya kuwa awarded io contract mfano the price may not be realistic.

Sent from my iPhone using JamiiForums

huelewi vizuri hata yeye cag anaelewa nini kuwa evaluated bidder sawa????
huyo wa kwanza tayari alikuw lowest evaluated bidder vinginevy angepotea mapema kwenye elegibilty.

Huyu wamemtoa kwa kigezo cha muda jiulize, Je? muda unatosha kujustify ongezeko la ml 200?????

Je huo muda ungeweza kuathiri shughuli za kibenk yani benk ingepata hasara zaidi ya million 200 kwa kumsubir huyo mzabuni amalize kupaka rangi nembo?????

hizi sheria tuzielewe jaman
 
Najaribu kuwaza kwa sauti lakini sauti haitoki.

Nembo.........

Milioni mia nne na tisini....

Nembo,nembo,nembo 490,000,000/=

Sijui naota ama nini
 
Umeona ka nembo kale... kwani walichapisha copies ngapi? labda trillion copies! which is next to impossible....
Apo tunaongelea pylons wakuu yale mabango makubwa na yakuvutia ya bank ya posta kwa kifupi hao jupita wameitendea haki hio 400m japo ni nene mno uyo lowest bidder ukute alikua anataka kuweka kitu ya kipimbi
 
Tender inakuwa awarded kwa the lowest evaluated tenderer, nikiwana maana kuwa na lowest tender sum sio kupewa tender bali your tender sum should be still evaluated.
Yawezekana ukipitia tender ya hao wenye gharama ndogo inaweza kuwa na makosa mengine ambayo yakafanya kuliose credibility ya kuwa awarded io contract mfano the price may not be realistic.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Umeshaambiwa evaluation committee walirecoomend the lowest evaluated bidder kama sheria na kanuni za manunuzi zinavyohitaji, waliokuja kupindisha ni tender board.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wew nawe ni mpuuzi wa mwaka. President anahusikaje na Bank ya Posta wakati umeambiwa na CAG mwenyewe kama bodi ya benki ndiyo imehusika? Kama sio siasa uchwara unafanya basi wewe ni zero plus.
[/QUOT
Mwenyekiti wa bodi anateuliwa na nani?
 
Ushirikiano hapewi Alitoa mapendekezo 270 yakafanyiwa kazi machache tu sasa hapo kwann watu wasilaumu mamlaka za uteuzii
Siyo kila kitu Rais anajua (hapigi ramli kujua kuwa kila taasisi na mashirika ya umma leo kumefanyika nini). Ndiyo maana kuna vyombo vya kumsaidia kama hiyo ofisi ya CAG. Cha msingi tu hapa ni ushirkiano wa Ofisi ya CAG na ofisi ya Rais katika kuibua na kutokomeza huu ufisadi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom