CAG Assad: Bunge halifanyi kazi yake! Wanatakiwa kuuliza matumizi nje ya bajeti yaliidhinishwa kwa mamlaka ipi

serikali na Bunge wameamua kuhujumu uchumi wa tanzania.

wananchi wazalendo wanahaki ya kuzishitaki mahakamani taasisi hizi, 'kama mahakama zetu ziko huru'.na ikiwezekana bunge butu livunjwe ili serikali badhirifu iondolewe...tunamuunga mkono kauli za Pascal na CAG
Ningeshangaa kama ungelikalia kimya hilo suala. Ushauri wangu tuliza mzuka huyo unayemchukia umwondoe madarakani kwa njia halali ifikapo wakati mwafaka.

Isitoshe, hakuna binadamu mtimilifu na heri anayetoa na kusimamia maamuzi yake, kuliko anayedanganya jamii kwa maneno ya ulaghai, uwongo na unafiki.

Mbea ni mtu hatari katika jamii - epuka mtu mwenye tabia hiyo.
 
CAG kashafanye yake katua mzigo...

Kazi ipo sasa kwa mihimili mikuu na taasisi zake kusafisha safisha...

Cc: mahondaw
 
Paskali Mayallah wherever you are, please take note of this as you prepare to face the parliamentary commitee in Dodoma! Best wishes Njala
 
hapo prof.assad atupe na mchanganuo wa matibabu ya ndugai kule india tena na wengineo kwani kuna ukakasi
 
Prof Assad anafaa kuwa president 2025

Tokea awamu ya kikwete na sasa magu hamung'unyi maneno anachana live ,.alisha mchana kikwete magogoni

Mkweli na muwazi hapepesi macho.

Haogopi na anajiamini

Anafanya kazi yake kiprofessional

Professor kama huyu unaanza kujenga imani angalau kidogo na udsm..
Watamtumbua labla ya mwaka hui niamini atapewa uwaziri kwishaaaaa
 
Siku zote kama ilivyo mafuta na maji havichangamani ndivyo ilivyo kwa uongo na kweli, Paskali go go, kadri muda unavyoenda ndivyo hoja zako zina vya saidifu ukweli.
 
Prof Assad anafaa kuwa president 2025

Tokea awamu ya kikwete na sasa magu hamung'unyi maneno anachana live ,.alisha mchana kikwete magogoni

Mkweli na muwazi hapepesi macho.

Haogopi na anajiamini

Anafanya kazi yake kiprofessional

Professor kama huyu unaanza kujenga imani angalau kidogo na udsm..
Amishikilia sana dini yake ya kiislamu ndiyo maana. Ana Imani ya kweli kwa hiyo akifanya kazi anakuwa mwaminifu Mungu aendelee kukusimamia Baba kwa kutetea watanzania, huyu sasa ndiyo Mzalendo.
 
Huku ndo kuisoma namba ambako ccm hasa ******** waliitangazia dunia....mhutu atatutia madole mpaka aamue kuacha mwenyewe maana anajua watz sio watu wa kichukua hatua.....
26/04/2018 is an ideal day to show him our real face not a fake and very predictable one
 
Prof Assad anafaa kuwa president 2025

Tokea awamu ya kikwete na sasa magu hamung'unyi maneno anachana live ,.alisha mchana kikwete magogoni

Mkweli na muwazi hapepesi macho.

Haogopi na anajiamini

Anafanya kazi yake kiprofessional

Professor kama huyu unaanza kujenga imani angalau kidogo na udsm..
Naomba unikumbushe kipindi cha Kikwete alimchana nini??
 
Magufuli bana,

Alipoingia madarakani alianza kutumbua na kukataa safari za nje badala yake kujenga wodi ya akina mama,tukajua atapeleka hela za kodi vizuri,na kupunguza expenses hio yote ili watanzania wote wafaidi...sasa badala yake ndio amekuwa zulmati mkubwa,anyway it was EXPECTED kujenga kule Chato sidhani kama bunge liliridhia
 
Back
Top Bottom