CAG anapaswa kujiuzulu kwa kukiuka utaratibu

Jamaa huyu kwa kweli hajui mipaka yake....!!??
mambo ya foleni yanaihusu vipi ofisi yake....
hiyo ni kazi ya wataalamu wengine ie Tanroads
Kwenye Audit Kuna kitu inaitwa consider the use of work of experts...ndio maana iwe madini,. Matibabu, ukarabati wa ndege, vichekesho, auditor anakagua na ananasa ukweli
 
Report ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ikiwasilishwa bungeni au kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano inapaswa kujibiwa kwanza na vyombo hivyo.

Inakuaje Mkaguzi Mkuu huyu wa hesabu za serikali kawasilisha report na report haijajibiwa anaenda kuongea na wananchi kupitia vyombo vya habari hii jambo sio la kawaida pia sio sawa kiutendaji kitu.

Mh raisi tunaomba umsaidie hii kazi huyu CAG wetu
Anagawa pesa kama za kwake,jamaa ameiba kuliko jambazi sugu
IMG_20210409_074341.jpeg
 
Oooh is that so?ndo maana CAG kala chenga ofisi za makamu wa rais na wa fedha

Chief, it was just a simple question! Sio statement!

Don’t quote me wrong!

Otherwise hiyo chenga ya mwili ya CAG, take it easy and look close, easy Chief!
 
Naona unatetemeka moja ya hasara za kujibu quote za verified members. Pheeewww
Chief, it was just a simple question! Sio statement!

Don’t quote me wrong!

Otherwise hiyo chenga ya mwili ya CAG, take it easy and look close, easy Chief!
 
Nimeelewa ilianza kwa awamu ya tano pekee au kuna awamu nyingine kabla hapo? Na je ilikua na mipasho?tupia link
Hata wakati wa Kikwete LUDOVIC UTOH alikuwa anaongea na waamdishi wa Habari na ndipo kashfa nyingi ulikuwa unazisikia. Wakati ule ww ulikuwa shule ya msingi au kijijini Misungwi ndani huko.
 
Kumbe unaishi misungwi vijijini mkuu halafu enzi za jk ukawa primary aiseee story yako inasikitisha
Hata wakati wa Kikwete LUDOVIC UTOH alikuwa anaongea na waamdishi wa Habari na ndipo kashfa nyingi ulikuwa unazisikia. Wakati ule ww ulikuwa shule ya msingi au kijijini Misungwi ndani huko.
 
TUMIA AKILI YA KAWAIDA TU

Hivi kwanini CAG hajaigusa Ofisi ya makamu wa Rais , kipindi hicho Mama alikuwa huko, tuseme yenyewe haikuwa na matumizi?.......

Fikria Tena kwanini hawajaigusa ofisi ya WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, kipindi hicho alikuwa Kaka yetu ambae saizi Ni Makamu, tusema Ofisi yake haikuwa na matumizi ?.......

TUTAVURUGWA VURUGWA HADI LINI?
Wizara ya FEDHA unadhani ina miradi yoyote? Kazi kubwa ya wizara ya fedha ni kutoa fedha kwa ajili ya wizara mbalimbali nk. Hawana miradi, wao utakagua taasisi zake kama TRA, TAA, IFM, CBE, BOT nk. Ofisi y makamu wa Rais kuna wizara moja tu ya muungano na mazingira nayo masuala ya muungano hukaguliwa.
Ushawahi sikia WIZARA YA ULINZI INAKAGULIWA AU UMEWAHI SIKIA JWTZ WAMENUNUA VIFARU VINGAPI KWA BEI FULANI KINYUME CHA SHERIA?
 
  • Thanks
Reactions: amu
umetoa poit umesema neno la mwaka hongera. kweli kwanini makamu wa rais haijaguswa alikuwa hana skendo
Unaonekana hujui lolote kuhusu ukaguzi huu. Yaan kwa kifupi ww ni zwazwa, kilaza, pimbi, kayumba nk.
 
Zile pesa ambazo zilitumika nje ya bajeti !!taarifa mpya ni kuwa zilitumika kumtafuta bwana kigogo 2014
 
Report ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ikiwasilishwa bungeni au kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano inapaswa kujibiwa kwanza na vyombo hivyo.

Inakuaje Mkaguzi Mkuu huyu wa hesabu za serikali kawasilisha report na report haijajibiwa anaenda kuongea na wananchi kupitia vyombo vya habari hii jambo sio la kawaida pia sio sawa kiutendaji kitu.

Mh raisi tunaomba umsaidie hii kazi huyu CAG wetu
Hujui katiba .

Wafuasi wa Jiwe hamuamini macho yenu. Jiwe limeondoka na halirudi tena .

Odhis *
 
Audit & Control! ?

Kwamba ofisi ya CAG iko na mandate ya ku control miradi ya Serikali?
Control- kwa maana ya kudhibiti, nadhani ni kama ilivyo elezewa kwenye katiba. Ibara 143(2)

(A)kuhakikisha kwamba fedha zozote zinazokusudiwa kutolewa kutoka Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali matumizi yake yameidhinishwa na kwamba zitatolewa kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 136 ya Katiba hii, na iwapo atatosheka kwamba masharti hayo yatatekelezwa ipasavyo, basi ataidhinisha fedha hizo zitolewe;

(b) kuhakikisha kwamba fedha zote ambazo matumizi yake yameidhinishwa yatokane na fedha zilizomo katika Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali au fedha ambazo matumizi yake yameidhinishwa na sheria iliyotungwa na Bunge, na ambazo zimetumika, zimetumiwa kwa ajili ya shughuli zilizo husika na matumizi ya fedha hizo na kwamba matumizi hayo yamefanywa kwa kufuata idhini iliyotolewa kuhusu matumizi hayo;

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Report ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ikiwasilishwa bungeni au kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano inapaswa kujibiwa kwanza na vyombo hivyo.

Inakuaje Mkaguzi Mkuu huyu wa hesabu za serikali kawasilisha report na report haijajibiwa anaenda kuongea na wananchi kupitia vyombo vya habari hii jambo sio la kawaida pia sio sawa kiutendaji kitu.

Mh raisi tunaomba umsaidie hii kazi huyu CAG wetu
Na Wewe Waite waandishi wa habari.
 
Back
Top Bottom