CAG aibua ufisadi wa kutisha NSSF

CAG aibua ufisadi wa kutisha NSSF

Bado kuna juhudi za kukwamisha ripoti hiyo, nimeona mbunge Ally Saleh kaandika kwenye akaunti yake ya Twitter kwamba kuna changamoto kwa wabunge kupata vitabu vyote 17 vya ripoti ya ukaguzi, mwenyekiti wa bunge nyoka wa makengeza amesema kwamba kuna gharama za kutoa nakala hizo ili kupata idadi hiyo ya vitabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu wameshindikana

CAG alisema wameiweka ripoti katika mfumo wa DvD ili kupunguza gharama za uchapishaji, hizi DVD hazijawafikia wabunge?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom