Munabusule
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 976
- 492
Teh teh,ina maana serikali nd inawanyanganya raia wake vitanda na magodoro wasipolipa?
PRIDE ni NGO ya watu binafsi na wala siyo mali ya serikali, kama walipata fedha serikali hilo ni jambo jingine lakini siyo mali ya serikali.
PRIDE ni NGO ya watu binafsi na wala siyo mali ya serikali, kama walipata fedha serikali hilo ni jambo jingine lakini siyo mali ya serikali.
Kama sikosei, Iddi Simba ni mwenyekiti wa bodi ya PRIDE. Na kama PRIDE ni mali ya serikali, Simba atakuwa aliteuliwa na rais kwa kushauriwa na waziri wa fedha kushika wadhifa huo. Guess who was the presidant and his Finance minister. Kuhitimisha, uchafu wote wa PRIDE una baraka za waliomteua Simba kuwa mwenyekiti PRIDE kama ilivyo kwa shirika la UDA.Hhaha! Mimi sikuzote najua kuwa Pride ni Mali ya Idd Simba, Lakini najua pia hawa jamaa wanapokea Misaada mingi kutoka Nje kupitia Mgongo wa Serekali na Umasikini wa waTanzania. Shime waTanzania tuwahi kukaba huko tukawahi Mali zetu maana ishajulika hivi Uchelewi kusikia Kampuni Imeflisika na kwa sasa Jamaa ni Full Bank na sio Tena Microfinance Institute.
Hao wote ma-bangusilo tu. Ukinchunguza vyema utagundua nani yuko nyuma yao.Idd Simba,Rugemalira,Mzindakaya,Rostam wameiweka serikali mfukoni
Jisomee hapa mkuu ili uchangie vizuri zaidi
..:::.. Promotion of Rural Initiative and Development Enterprises Limited (PRIDE Tanzania) ..:::..
PRIDE ni NGO ya watu binafsi na wala siyo mali ya serikali, kama walipata fedha serikali hilo ni jambo jingine lakini siyo mali ya serikali.
- Pride Tanzania inamilikiwa na serikali 100%
- ilisajiriwa mwaka1993 Mei 5
- Hesabu za pride hazijawahi kuwasilishwa kwa CAG kama inavyotakiwa kisheria
- kutowasilishwa mahesabu kunazua maswali mazito kwa watanzania.
- Mtaji wa kuanzishwa ulitoka NORAD kwa makubaliano na URT
- CAG aliandika barua 20/6/2012 kuomba maelezo juu ya umiliki wa pride hakupata majibu toka ofisi ya MSAJIRI WA HAZINA
- Hadi leo msajiri wa hazina hajawahi kujibu hiyo audit querry
Source: Mwananchi page 12