Kwa nini mechi ya kwanza ya Al Ahly na Al Hilal ilikuwa Misri wakati katika ranking, Al Ahly yupo juu na amekuwa juu kuliko Al Hilal?
Sababu al hilal aliongoza kundi lake ndio maana kapewa heshima ya kumalizia mechi home
Kwa nini mechi ya kwanza ya Al Ahly na Al Hilal ilikuwa Misri wakati katika ranking, Al Ahly yupo juu na amekuwa juu kuliko Al Hilal?
Duh nilishasahau hilo. Nimepiga vimiminika kichwa hakipo sawa. Leo na kesho mkiona napost vitu vya ajabu mtanisamehe.Sababu al hilal aliongoza kundi lake ndio maana kapewa heshima ya kumalizia mechi home
Kuanzia nusu ndio huwa wanaangalia izo ranks.Kwa nini mechi ya kwanza ya Al Ahly na Al Hilal ilikuwa Misri wakati katika ranking, Al Ahly yupo juu na amekuwa juu kuliko Al Hilal?
Nakala kwa depotivo de utopwinyoIla haya mashindano ya CAF kama una timu yako inahitaji uwe na moyo mgumu sana maana ni magumu balaa. Watu wakiamua kukukazia, hata ucheze dakika 300 haupati goli.
Ubuntu botho